Senegal yaichapa Sudan 3-1 yatinga robo fainali AFCON 2025
TIMU ya Taifa ya Senegal imekata tiketi ya kutinga hatua ya robo fainali AFCON 2025, Morocco. Timu hiyo ilianza kufungwa napema kipindi cha kwanza dhidi ya Sudan. Kabla hawajaenda mapumziko waliweka usawa na kuongeza goli moja. Senegal 3-1 Sudan mchezo wa hatua ya 16 bora umegota mwisho. Ni Aamir Abdallah alipachika goli la kuongoza kwa…