Yanga SC vs Mtibwa Sugar, H2H

NBC Premier League inaendelea na leo Oktoba 28,2025 kutakuwa na mchezo mkali kwa wababe wawili kukutana Uwanja wa KMC Complex. Ni Yanga SC vs Mtibwa Sugar ya Morogoro hapa tunakuletea baadhi ya matokeo walipokutana mechi zilizopita:- 13/05/2024 FT: Mtibwa Sugar 1-3 Yanga SC 16/12/2023 FT: Yanga SC 4-1 Mtibwa Sugar 31/12/2022 FT: Mtibwa Sugar 0-1…

Read More

Simba SC vs TRA United mtihani mwingine kwa Pantev

MENEJA Mkuu wa Simba SC, Dimitar Pantev kwenye mtihani mwingine wa Ligi Kuu Tanzania Bara ugenini msimu wa 2025/26. Simba SC vs TRA United unakuwa ni mchezo wa kwanza kwa  Pantev kukaa benchi kwenye mechi za ligi mara baada ya kuchukua mikoba ya Fadlu Davids. Mechi mbili ameongoza Pantev akiwa ndani ya Simba SC ilikuwa…

Read More

Brendan Rodgers Ajiuzulu Celtic Scotland

Miamba ya soka ya Scotland, Celtic FC, imethibitisha kuwa Meneja wao Brendan Rodgers amejiuzulu rasmi leo kutoka nafasi yake ya ukocha. Kupitia taarifa rasmi iliyotolewa na klabu hiyo, Celtic imesema imepokea na kukubali barua ya kujiuzulu kutoka kwa Rodgers, ambaye ataondoka katika majukumu yake mara moja. “Brendan anaondoka Celtic tukiwa na shukrani kwa nafasi aliyochukua…

Read More

Polisi yataja sababu ya kumkamata Niffer

Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam Jumanne Muliro amethibitisha jeshi hilo kumkamata mfanyabiashara wa mtandaoni Jenifer Jovin maarufu Niffer. Kamanda Muliro ametoa kauli hiyo Jumatatu Oktoba 27,2025 baada ya kusambaa taarifa kwenye mitandao ya kijamii, kuwa mfanyabiashara huyo ametekwa na watu wasiojulikana Sinza jijini Dar es Salaam alipokuwa dukani kwake. “Jeshi la…

Read More

Yanga SC vs Mtibwa Sugar, Clement Mzize out

Yanga SC vs Mtibwa Sugar mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara unatarajiwa kuchezwa Oktoba 28,2025 Uwanja wa KMC Complex. Huo ni mchezo wa ligi ambapo Yanga SC imetoka kupata ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Silver Striker katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika. Kuelekea mchezo huo mchezaji Clement Mzize ambaye ni mshambuliaji atakosekana kwa…

Read More

Meridianbet Kuimarisha Burudani Kwa Wabashiri Kupitia Gates of Halloween

Kampuni inayoongoza michezo ya kubashiri mtandaoni nchini, Meridianbet, imezindua rasmi mchezo mpya wa kasino unaoitwa Gates of Halloween, ambao umeleta upepo wa mapinduzi katika ulimwengu wa burudani mtandaoni. Huu si mchezo tu wa ilimradi bali ni mlango wa kuingia katika dunia ya maajabu, mapepo, bahati, na ushindi wa kutisha. Gates of Halloween ni mchanganyiko kamili…

Read More

FC Porto, Atletico Madrid, Fenerbahce na Atalanta Zawasha Moto Meridianbet Leo!

Jumatatu ya ushindi imekufikia na wakali wa ubashiri Meridianbet leo, baada ya wikendi kumalizika sasa ni zamu ya kuchukua maokoto yako hapa. Ingia kwenye akaunti yako tengeneza jamvi lako na dau lako lolote uibuke bingwa leo. Ureno, PRIMEIRA LIGA itaendelea kwa mechi moja kali ambapo FC Porto atakuwa ugenini kupepetana dhidi ya Moreirense. Mechi ya…

Read More