UHAMIAJI YATHIBITISHA KUWATUNUKU URAIA WACHEZAJI 3 WA SINGIDA BLACK STARS
Idara ya Uhamiaji Tanzania yathibitisha kuwatunuku Uraia wa Tanzania wachezaji 3 wa Singida Black Stars kutoka Ghana, Ivory Coast na Guinea.
Idara ya Uhamiaji Tanzania yathibitisha kuwatunuku Uraia wa Tanzania wachezaji 3 wa Singida Black Stars kutoka Ghana, Ivory Coast na Guinea.
Katika mkutano mkubwa uliofanyika mwishoni mwa mwaka 2024 jijini Orlando mkurugenzi wa Meridianbet bwana Zoran Milosevic kupitia makampuni ya GMGI alionesha namna ambavyo kampuni hiyo imeweza kua na mafanikio makubwa kwa mwaka 2024 na kujiweka kwenye mazingira mazuri Zaidi ya kupandisha thamani kwa mwaka 2025. https://x.com/meridianbet_ofc/status/1882035687014191504 Tukio hilo la hali ya juu, linalojulikana pia kama…
AMEWAVURUGA vigogo waliopo ndani ya tatu bora Kocha Mkuu wa Yanga, Sead Ramovic huku timu hiyo ikiandika rekodi ya kuwa timu ya kwanza ambayo ilipata ushindi mkubwa bila kuruhusu kufungwa na ni mabao 16 Yanga ilifunga kwenye mechi nne na ilifungwa mabao mawili dhidi ya Mashujaa.
Siku ya leo ndio hiyo imefika ya kuchukua maokoto yako ya maana na mabingwa wa odds kubwa Meridianbet leo kwani mechi kibao za pesa zitakuwa uwanjani hapo baadae kusaka pointi 3. Manchester United baada ya kupigika kwenye ligi mchezo wao uliopita, na sasa nguvu watawekeza kwenye Europa na hii leo watakuwa Old Trafford kukipiga dhidi…
Nyota wa kimataifa wa Misri Omar Marmoush ametambulishwa kuwa mchezaji mpya wa Manchester City kwenye msimu wa 24/25. Omar Marmoush amesaini mkataba wa miaka minne wa kujiunga na Manchester City akitokea Eintracht Frankfurt ya nchini Ujerumani. Wachezaji wapya wa Manchester City ni Victor Reis, Abdukodir Khusanov na Omar Marmoush.
Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA), Dkt. Said Mohamed ametangaza matokeo ya kidato cha nne ya mwaka 2024 na kueleza kuwa ufaulu umepanda. Dkt. Said ameeleza zaidi kuwa ufaulu umepanda kwa 3% hadi kufikia 92.3% kwa jumla ambapo watahiniwa 477, 262 wamefaulu kidato cha nne kati ya wahitimu 516, 695. MATOKEO YA…
TAARIFA rasmi kutoka Shirikisho la Kimataifa la Historia na Takwimu za Mpira wa Miguu (IFFHS) limeitangaza Ligi Kuu ya Tanzania (NBC Premier League) kuwa Ligi ya nne (4) kwa ubora barani Afrika. Wakati ikiwa ni namba nne kwa ubora barani Afrika imekuwa ya 57 duniani kwa mwaka 2024 hii ikiwa inamaanisha kwamba ushindani unazidi kukua…
Shirikisho la Kimataifa la Historia na Takwimu za Mpira wa Miguu (IFFHS) limeitangaza Ligi Kuu ya Tanzania (NBC Premier League) kuwa Ligi ya nne (4) kwa ubora barani Afrika na ya 57 duniani kwa mwaka 2024. Ligi hiyo imepanda kwa nafasi mbili kutoka nafasi ya sita mwaka 2023 ikizipiku Ligi za Afrika Kusini na Tunisia…
Real Madrid, Arsenal na PSG zimeshusha vipigo vizito huku Bayern Munich na Manchester City zikipigika kwenye Ligi ya Mabingwa Ulaya. FT: Arsenal 🏴 3-0 🇭🇷 D. Zagreb ⚽ 2’ Rice ⚽ 66’ Havertz ⚽ Odegaard 90+2’ FT: PSG 🇫🇷 4-2 🏴 Man City ⚽ 56’ Dembele ⚽ 61’ Barcola ⚽ 78’ Neves ⚽ 90+4’ Ramos…
NDANI ya kikosi cha Simba mtambo wa kutengeneza mabao ni Jean Ahoua ambaye haeleweki kutokana na kiwango chake kuwa cha kupwa na kujaa lakini ni chaguo la kwanza la Kocha Mkuu, Fadlu Davids. Ipo wazi kwamba Simba kwenye ligi ni namba moja katika msimamo ikiwa na pointi 40 baada ya kucheza mechi 15 ni namba…
CLEMENT Mzize, mchezaji bora Desemba amewakimbiza wachezaji wenye rekodi kutokana na kusepa na tuzo hiyo mbele ya mastaa wenye rekodi zao ndani ya NBC. Kwenye mechi nne ambazo alicheza, Mzize alifunga mabao manne na kutoa pasi tatu za mabao akikomba dakika 288 na Yanga ilikuwa nafasi ya tatu ndani ya Ligi Kuu Bara inayodhaminiwa na…