
WAKIMATAIFA YANGA TAYARI KUWAKABILI TP MAZEMBE
WAWAKILISHI wa Tanzania kwenye anga la kimataifa katika Ligi ya Mabingwa Afrika wameweka wazi kuwa hesabu kubwa ni kupata matokeo mbele ya TP Mazembe. Katika mchezo uliopita wa makundi wakiwa ugenini dhidi ya TP Mazembe, Yanga iliambulia pointi moja kwa sare ya kufungana bao 1-1 ikipata pointi kwa mara ya kwanza kwenye hatua za makundi…