SIMBA WAPIGA HESABU HIZI KIMATAIFA

KUELEKEA mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika uliopewa jina la Vita ya Kisasi huku mgeni rasmi akiwa ni beki Henoc Inonga benchi la ufundi limebainisha kuwa linahitaji ushindi. Abdelahak Benchikha, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa wanachohitaji kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Jwaneng Galaxy, Uwanja wa Mkapa ni ushindi. Kikosi cha…

Read More

AL AHLY DHIDI YA YANGA NI USIKU WA KISASI

Ligi ya mabingwa barani Afrika itaendelea leo ambapo ichezo kadhaa itapigwa katika viwanja viwili tofauti ambapo mchezo mmoja utapigwa nchini Misri, Huku mwingine ukipigwa pale nchini Algeria. Vilabu vinne ambavyo ni Yanga, Al Ahly, Medeama Fc, na CFR Belouzdad ndio vitaingia dimbani leo kukipiga katika kundi D, Huku mabingwa wa kubashiri Meridianbet wamemwaga ODDS KUBWA…

Read More

KIGOGO SIMBA AWAJAZA UPEPO CHAMA, FRED, AL AHLY V YANGA

MSIMU MPYA MAMBO MAPYA! Gazeti lako bora la Championi linalotoka mtaani mara mbili kwa wiki, Jumatatu na Ijumaa, sasa limekuja kivingine. Tunatoa zawadi kwako ewe msomaji ambapo kwa kununua GAZETI LA CHAMPIONI, utapata fursa ya kuzawadiwa jezi mpya za Simba na Yanga za msimu wa 2023/2024, pindi ununuapo gazeti letu kupitia Global App. Soma Gazeti…

Read More

YANGA KUCHEZA KWA KUWASHAMBULIA WAARABU

MPANGO kazi kwa Yanga kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Al Ahly utakuwa ni kucheza kwa kushambulia kwa kuwa ni sanaa inayopendwa na benchi la ufundi. Kocha Mkuu wa Yanga Miguel Gamondi amesema kuwa anapenda kuona timu ikicheza na sio kujilinda muda mrefu jambo ambalo limekuwa likiwapa matokeo chanya. Yanga ina kibarua…

Read More

AZAM FC KASI YAO INAZIDI

MIAMBA Azam FC wamezidi kujiongezea ngome nafasi ya pili baada ya kukomba pointi tatu mazima dhidi ya Singida Fountain Gate. Katika mchezo uliochezwa Uwanja wa CCM Kirumba ubao ulisoma Singida Fountain Gate 0-1 Azam FC bao lilifungwa na Kipre Junior dakika ya 53. Azam FC inafikisha pointi 40 baada ya kucheza mechi 18 vinara ni…

Read More

YANGA KUMALIZA VINARA WA KUNDI KIMATAIFA

ANAANDIKA Jembe Yanga wana nafasi kubwa ya kuongoza kundi kama watakuwa makini na kuamua kukusanya pointi Cairo. Ahly si Belouizdad na Ahly si wepesi hasa wakiwa Cairo lakini Yanga kwenda Cairo wakiwa wamefuzu inaweza ikawa. FAIDA…Wakijipanga na kuichukulia mechi kwa umakini zaidi HASARA…Kama wataichukulia kwa wepesi sababu walishinda kabla Vs Belouizdad Kushinda nafasi ya kwanza…

Read More

SIMBA YAPETA MBELE YA WAKUSANYA MAPATO

WAKIWA kwenye maandalizi kuelekea mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Jwaneng Galaxy, Simba imepeta mbele ya wakusanya mapato kutoka Kilimanjaro. Kwenye mchezo wa raundi ya tatu iliambulia ushindi wa mabao 6-0 TRA Kilimanjaro katika mchezo wa Azam Sports Federation Cup. Katika mchezo uliochezwa Uwanja wa Azam Complex ni Ladack Chasambi alifungua kurasa za…

Read More

SALEH JEMBE: ‘NI KOSA KUMLINGANISHA CHAMA NA PACOME – KWELI MO DEWJI ASHUKURIWE YANGA KUFUZU

Mchambuzi na mwandishi nguli wa michezo, Saleh Ally amefanya mahojiano na baadhi ya waandishi wa habari na kuwaeleza kuwa kiwango alichonacho Clatous Chama mchezaji wa Simba hakilinganishwi na cha Pacome mchezaji wa Yanga. Saleh ameendelea kuwaambia waandishi hao kuwa Chama ameipeleka Simba robo fainali mara kadhaa na amefanya makubwa sana kwa upande wa soka la…

Read More