>

YANGA YAZITAKA POINTI TATU ZA IHEFU

KOCHA Mkuu wa Yanga, Miguel Gamondi amesema kuwa wataingia kwa tahadhari kuwakabili wapinzani wao Ihefu kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Azam Complex. Machi 11 Yanga ambao wametoka kushuhudia ubao wa Uwanja wa Majaliwa ukisoma Namungo 1-3 Yanga watakuwa na kazi ya kusaka pointi tatu dhidi ya Ihefu. Katika mchezo huo…

Read More

Barbary Coast Kasino Sehemu Utajiri Ulipofichwa

Huu hapa mchezo mwingine mzuri kabisa na rahisi kujipigia mkwanja unaposhiriki michezo ya kasino ya mtandaoni, ni mchezo wa Barbary Coast maharamia wenye nguvu wanaopatikana baharini, kazi yao ni kuteka meli zenye mizigo na kujimilisha. Unapokuwa unaucheza mchezo huu wa kasino ya mtandaoni unakupa nafasi ya kujimilikisha alama nyingi za ushindi, kwa kupanga madau yako…

Read More

MWANANYAMALA YAFIKIWA SIKUKUU YA WANAWAKE

Sikuku ya wanawake duniani imekua ni baraka kwa wakina Mama wanaojishughulisha na ujasiriamali mdogo katika soko la Mwananyamala, Ambapo kampuni ya Meridianbet iliwafikia na kutoa msaada katika eneo hilo. Meridianbet walifanikiwa kufika eneo la Mwananyamala sokoni na kutoa msaada wa vyakula kwa kina Mama wanaofanya biashara katika soko hilo, Hii ni katika kuhakikisha wanathamini mchango…

Read More

ALIKIBA AZINDUA KITUO CHA REDIO

Mwanamuziki wa Tanzania Alikiba amezindua kituo cha redio kwa jina “Crown FM”. Uzinduzi huo ulifanyika usiku wa Jumamosi Machi 9 2024 katika hoteli ya Hyatt Regency jijini Dare es Salaam kwenye sherehe ya miaka 20 ya Kiba katika muziki. Akizungumza kwenye hafla hiyo, Kiba alielezea kwamba vyombo vya habari ni muhimu ndivyo vimemkuza kama mwanamuziki…

Read More

KIKOSI CHA SIMBA DHIDI YA COASTAL UNION, MANULA OUT

KUUMIA kwa Henock Inonga mwamba Che Malone anarejea kikosi cha kwanza dhidi ya Wagosi wa Kaya, Coastal Union , Uwanja wa Mkwakwani, Tanga. Mbali na Che Malone pia Aishi Manula kipa namba moja wa Simba hayupo kwenye mpango kazi wa leo ambapo benchi yupo Ally Salim. Shomari Kapombe, Zimbwe, Kennedy Juma na Ayoub Lakred watakuwa…

Read More

MKALI WA MABAO AMEREJEA SIMBA

AMEREJEA ndani ya uwanja mkali wa mabao ndani ya kikosi cha Simba baada ya kuwa nje ya uwanja kwa muda kutokana na kutokuwa fiti. Ni Willy Onana ambaye anaitwa mali ameanza mazoezi na wachezaji wenzake kwa ajili ya kuendeleza ushindani na wachezaji wengine

Read More