>

MAYELE ATETEMA UWANJA WA MKAPA BAADA YA KUIFUNGA ETHIOPIA KUFUZU AFCON 2025

Fiston Mayele ametetema katika dimba la Benjamin Mkapa baada ya kuifungia Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo bao la pili dhidi ya Ethiopia katika mchezo wa kuwania kufuzu AFCON 2025. Ethiopia 🇪🇹 0-2 🇨🇩 DR Congo ⚽ 62’ Bongonda ⚽️ 76’ Fiston Mayele 𝗙𝗧:𝟮𝟬𝟮𝟱 𝗔𝗙𝗖𝗢𝗡 𝗤𝘂𝗮𝗹𝗶𝗳𝗶𝗲𝗿𝘀 🇱🇸 Lesotho 0-1 🇲🇦 Morocco 🇦🇴 Angola 2-1 🇸🇩 Sudan…

Read More

TSH 302,000,000/= INAKUSUBIRI LEO MERIDIANBET, CHEZA KASINO

  Kiufupi unaweza kusema mgodi wa pesa umetema, ni mara nyingine tena Michezo ya kasino ya mtandaoni, inakupa utajiri muda wowote kupitia promosheni ya Short Races. Jisajili Meridianbet Kasino uwe mshindi. Tsh 302,000,000/= inashindaniwa kupitia michezo ya kasino ya mtandaoni, ambayo utachagua mchezo mmoja wa sloti na kuucheza, huku unawinda kibunda cha mamilioni. Dau la…

Read More

HUYU HAPA MWAMBA MWENYE REKODI YAKE JANGWANI

KIUNGO mshambuliaji wa Yanga, Maxi Nzengeli anashikilia rekodi ya kuwa mfungaji wa bao la kwanza ndani ya Ligi Kuu Bara msimu wa 2024/25 akiwa na uzi wa Yanga. Bao hilo alifunga katika mchezo wa ligi dhidi ya Kagera Sugar uliochezwa Uwanja wa Kaitaba ilikuwa ni Agosti 29 2024 mabingwa hao watetezi walicheza mchezo wa kwanza…

Read More

SLOTI YA LUCKY DOLPHIN KASINO YENYE MANDHARI YA BAHARINI

Unambiwa bahari imebeba viumbe vingi vya ajabu, samaki, majini na madini, lakini pia rasilimali zenye utajiri mkubwa kama mafuta na gesi kwa kiasi kikubwa vinapatikana baharini waulize wavuvi watakwambia juu ya maajabu ya baharini. Meridianbet kasino mtandaoni inakurudisha baharini kuusaka utajiri kupitia mchezo wa kasino unaitwa Lucky Dolphin. Lucky Dolphin ni sloti ya kasino mtandaoni…

Read More

PATASHIKA HII HAPA BONGO, KITAWAKA

PATASHIKA Bongo haijawahi kupoa kutokana na kila timu kuwa kazini kusaka pointi tatu muhimu ndani ya uwanja katika dakika 90 za kazi. Ni Mzizima Dabi mchezo utakaowakutanisha wapinzani wawili Azam FC na vinara wa ligi kwa sasa msimu mpya wa 2024/25 Simba. Ikumbukwe kwamba Azam FC, Septemba 7 ilimtangaza Rachid Taoussi raia wa Morocco kuwa…

Read More

MSUVA: TAIFA STARS NI YA KILA MMOJA

NYOTA wa timu ya taifa ya Tanzania, Simon Msuva ameweka wazi kuwa timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars ni ya kila mmoja hivyo anayepewa nafasi ya kuitwa ana nafasi ya kupeperusha vema bendera ya Tanzania. Msuva hayupo kwenye orodha ya wachezaji waliochaguliwa kuunda kikosi cha Stars kwa ajili ya kuwania kufuzu AFCON 2025 Morocco…

Read More

UEFA NATIONS LEAGUE INAENDELEA TENA LEO

Ligi mbalimbali barani ulaya ni kweli zimesimama lakini hiyo sio sababu ya wewe kushindwa kushinda mkwanja, Kwnai michuano ya Uefa Nations League inaendelea na michezo mikali inapigwa karibu kila siku.   Michuano hii inaweza kukupa mkwanja na wikiendi ikachangamka kwasababu palwe kwenye tovuti ya Meridianbet michezo yake imepewa Odds bomba sana, Hivo ni fursa kwako…

Read More

CHUKUA MAOKOTO YA KUTOSHA KUPITIA MERIDIANBET LEO

Ukisikia ile siku ya wewe kujinyakulia maokoto ya kutosha basi ni leo Jumamosi ambapo itapigwa michezo mbalimbali mikali barani ulaya, Huku fursa ikibaki kwako wewe kuweka jamvi lako na kusubiria kitita.   Uefa Nations League imekuja na hatari yake kwani Meridianbet wamemwaga Odds za kutosha isivyo kawaida katika michezo ambayo inakwenda kupigwa leo, Hivo ni…

Read More

KARIAKOO DABI INAFUKUTA HUKO NA MZIZIMA DABI

MSIMU wa 2024/25 ushindani wake unatarajiwa kuwa mkubwa kutokana na kila timu kujipanga kupata matokeo chanya kwenye mechi za ushindani ambapo kwa sasa ligi imesimama kwa muda kutokana na ratiba ya FIFA. Wakati yote yakiendelea kuna fukuto ambalo lipo ikiwa ni kuelekea mechi kubwa Kariakoo Dabi na Mzizima Dabi ambazo zinatarajiwa kuwa na ushindani mkubwa…

Read More

MKONGWE ASIYE NA SHAKA JIDE AHESHIMISHWA

SUGU amesema kuwa kuelekea kwenye Bongo Flava Honors ni zamu ya Jide kupanda jukwaani akiwa ni mkongwe wa kwanza wa kike kuheshimishwa kwenye jukwaa hilo Oktoba 25 2024 Ukumbi wa Warehouse, Masaki, Dar ambapo amesema kuwa ni msanii mkubwa sana sio Tanzania bali Afrika na Dunia kutokana na heshima aliyonayo anaamini watapiga nyimbo nyingi na…

Read More

KOCHA SIMBA: TUNA KAZI KUBWA KUFANYA KUWA IMARA

FADLU Davids, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa kuna kazi kubwa ya kufanya ili kuwa imara kwenye mechi za ushindani ambazo watacheza ndani ya uwanja. Fadlu mkononi ana tuzo ya kocha bora Agosti 2024 baada ya kuingoza Simba kwenye mechi mbili za ligi ndani ya dakika 180, wakikomba ushindi kwenye mechi zote huku safu ya…

Read More