>

SIMBA NA HESABU KUBWA KWA MASHUJAA

UONGOZI wa Simba umebainisha kwamba upo tayari kwa mchezo wao wa raundi ya nne dhidi ya Mashujaa ya Kigoma mwisho wa reli kwenye mchezo unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Lake Tanganyika. Ni Aprili 8 mapema Simba waliwasili salama Kigoma kwa ajili ya maandalizi ya mwisho ya mchezo wa Aprili 9 2024 saa 10:00 jioni na yule…

Read More

MASHUJAA SIO KINYONGE WATUMA UJUMBE SIMBA

WAPINZANI wa Simba kwenye mchezo wa leo Uwanja wa Lake Tanganyika, Mashujaa wamegomea unyonge mbele ya Mnyama kwa kubainisha kwamba wamefanya maandalizi mazuri kuwakabili. Ipo wazi kwamba baada ya kumaliza ngwe ya kimataifa Simba ikigotea hatua ya robo fainali ina kazi kwenye mashindano ya ndani ambayo ni Ligi Kuu Bara pamoja na CRDB Federation Cup….

Read More

KARIAKOO DABI HII HAPA KITAWAKA

ZINAHESABIWA siku kwa sasa kutokana na tarehe kuwa wazi kwa kuwa tayari imeshapangwa na taarifa kwa kila timu zimefika mahali pake kwa mujibu wa taarifa. Ikumbukwe kwamba Yanga na Simba walikuwa na kazi kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika wamegotea wote hatua ya robo fainali. Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imetangaza tarehe ya mchezo wa…

Read More

SIMBA MIKONONI MWA MASHUJAA KIGOMA

BAADA ya kufungashiwa virago kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika, Simba imerejea Bongo na ina kazi yakufanya kwenye mchezo dhidi ya Mashujaa FC ya kutoka Kigoma. Hivyo Simba ipo mikononi mwa Mashujaa kwenye msako wa ushindi ndani ya dakika 90 Uwanja wa Lake Tanganyika. Ipo wazi kwamba Simba imegotea hatua ya robo fainali Ligi ya Mabingwa…

Read More

YANGA YAITANGAZIA VITA SIMBA

MSIMU MPYA MAMBO MAPYA! Gazeti lako bora la Championi linalotoka mtaani mara mbili kwa wiki, Jumatatu na Ijumaa, sasa limekuja kivingine. Tunatoa zawadi kwako ewe msomaji ambapo kwa kununua GAZETI LA CHAMPIONI, utapata fursa ya kuzawadiwa jezi mpya ya Simba au Yanga za msimu wa 2023/2024, pindi ununuapo gazeti letu kupitia Global App. Soma Gazeti…

Read More

KIKOSI CHA SIMBA NDANI YA DAR

WAWAKILISHI wa Tanzania Simba kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika tayari wapo ndani ya jiji la Dar. Timu hiyo ilikuwa nchini Misri kwa ajili ya mechi ya robo fainali Ligi ya Mabingwa Afrika. Mchezo wa pili ilipoteza kwa kufungwa mabao 2-0 dhidi ya Al Ahly ya Misri ambao ni mabingwa watetezi. Ipo wazi kuwa timu zote…

Read More

YANGA WANAKITU, AZIZ KI ANASEPA

MWAMBA Aziz KI kafanya kazi kubwa ndani ya Yanga katika Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Mamelodi Sundowns dakika zote 180 wakitoshana nguvu uwanjani na kuondolewa kwa changamoto za penalti. Yanga imeonyesha ukomavu mkubwa katika mechi zote mbili hakika wanastahili pongezi kwa kazi kubwa mbele ya Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini. Kwenye changamoto za penalti…

Read More

Deuces Wild Poker Kasino ya Kifalme

Karata moja ya mchezo bomba kabisa na rahisi kuucheza kama ukituliza akili, ule usemi wa changa karata zako vizuri una maana kubwa sana kwenye mchezo huu wa kasino ya mtandaoni uliopo Meridianbet. Unapoanza kuucheza hakikisha karata zako umezichanga vizuri na kisha subiri mchezeshaji ajichanganye umpune. Jisajili Meridianbet uwe wa kwanza kufurahia promosheni na bonasi za…

Read More