>

INONGA KWENYE ULIMWENGU WAKE SIMBA

HENOCK Inonga katika Ligi Kuu Bara sio chaguo la kwanza la Kocha Mkuu Abdelhakh Benchikha kwa kuwa anatumia muda mwingi nje ya uwanja. Beki huyo yupo kwenye ulimwengu wake mwenyewe kutoakana na kutokuwa kwenye ubora wake katika mechi ambazo wanacheza msimu huu. Msimu wa 2023/24 umekuwa ni mbaya kwake baada ya kuumia katika mchezo wa…

Read More

YANGA KWENYE KAZI NYINGINE TENA

VINARA wa Ligi Kuu Bara, Yanga leo wanakibarua cha kusaka pointi tatu dhidi ya JKT Tanzania. Yanga Aprili 20 2024 imetka kukomba pointi tatu dhidi ya Simba kwenye mchezo wa Kariakoo Dabi. Katika mchezo huo baada ya dakika 90 ubao wa Uwanja wa Mkapa ulisoma Yanga 2-1 Simba hivyo ndani ya msimu wa 2023/24 nje…

Read More

AZAM FC WAITULIZA IHEFU

USHINDI wa Azam FC kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Ihefu unawapa pointi tatu mazima huku mwamba Feisal Salum akifikisha mabao 14. Azam FC wameituliza Ihefu kwenye mchezo wa ligi na kusepa na pointi tatu mazima ambazo zinawaongezea kasi kuufukuzia ubingwa wa ligi msimu wa 2023/24. Ni dakika ya 13 alipachika bao hilo…

Read More

YANGA; 5G KWA SIMBA HAIKWEPEKI

UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kuwa kichapo cha mabao 5 mbele ya Simba hakikimbiliki kwa namna yoyote kwa kuwa kila hesabu watakazofanya inakuja 5. Ipo wazi kuwa mzunguko wa kwanza ubao wa Uwanja wa Mkapa baada ya dakika 90 ubao ulisoma Simba 1-5 Yanga na mchezo wa mzunguko wa pili ilikuwa Yanga 2-1 Simba. Ali…

Read More

YANGA WABABE KARIAKOO DABI

MSIMU wa 2023/24 kwa watani wa jadi Yanga na Simba umegota mwisho huku Yanga wakiwa ni wababe ndani ya ligi nje ndani. Aprili 20 2024 ubao wa Uwanja wa Mkapa umesoma Yanga 2-1 Simba na ule mchezo wa mzunguko wa kwanza ilikuwa Simba 1-5 Yanga. Mchezo wa mzunguko wa kwanza ulichezwa Novemba 5 2023 Yanga…

Read More

F T: YANGA 2-1 SIMBA

MCHEZO wa Ligi Kuu Bara Kariakoo Dabi Yanga wameibuka na ushindi kwa mabao 2-1 Simba ikiwa ni mzunguko wa pili. Yanga walianza kufunga mapema kupitia kwa Aziz KI dakika ya 23 kwa mkwaju wa penalti na mwamba Joseph Guede bao moja dakika ya 37. Simba wamepata bao moja kipindi cha pili kupitia kwa Michael Fred…

Read More