>

Playson na Meridianbet Wazindua Promo ya Mil 200/=

Kimbunga Hiadaya kilikuja na madhara makubwa sana katika maeneo ya ukanda wa pwani hususani Lindi, lakini Kimbunga cha Meridianbet Kasino ya Mtandaoni kinakuja na Utajiri. Shinda Sehemu ya Kitita cha Tuzo chenye thamani hadi Shilingi Milioni mia moja na thelathini na tisa. Jisajili na Meridianbet kushiriki kwenye shindano la Short Races.   Meridianbet wamezindua safari…

Read More

EUROPA NA CONFERENCE KUTOA MKWANJA LEO

Leo hii una nafasi ya kupiga mkwanja wa maana ukibashiri mechi zako na meridianbet. Machaguo zaidi ya 1000 na ODDS KUBWA zipo hapa. Unasubiri nini ingia sasa kwenye akaunti yako na usuke jamvi hapa. Atalanta chini ya Gasperini dhidi ya Olympique Marseille ambapo mechi ya kwanza walitoshana nguvu hivyo leo ni kama wanaanza upya. Atalanta…

Read More

HIZI HAPA MECHI ZA LAKRED NDANI YA SIMBA

KIPA wa Simba, Ayoub Lakred rekodi zinaonyesha kwamba ni mechi 14 ameanza langoni msimu wa 2023/24 akiwa na uzi wa timu hiyo yenye maskani Msimbazi. Kwenye mechi hizo amekomba dakika 1,260 akitunguliwa kwenye mechi 7 na hakutungiliwa kwenye mechi 7 pia ikiwa ni nusunusu ndani ya uwanja. Ipo wazi kwamba kikosi cha Simba ndani ya…

Read More

MWAMBA AYOUB KWENYE RADA ZA YANGA

MKALI kutoka kwa matajiri wa Dar, Ayoub Lyanga anatajwa kuwa kwenye rada za mabosi wa mitaa ya Jangwani, Yanga kwa ajili ya kupata changamoto mpya. Ipo wazi kuwa nyota huyo ambaye ameibukandani ya Azam FC akitokea Coastal Union alikuwa anapigiwa hesabu na mabosi hao kitambo. Ni Yanga na Simba walikuwa wanahitaji saini yake lakini Azam…

Read More

SIMBA YAZIPIGIA HESABU POINTI ZA AZAM FC

KUELEKEA kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa Mei 9 2024 uongozi wa Simba umebainisha kwamba bado haujamaliza. Simba ipo chini ya Kocha Mkuu Juma Mgunda ina kazi yakusaka pointi tatu muhimu dhidi ya Azam FC ambao nao wanazihitaji pointi tatu pia. Ikumbukwe kwamba kwenye mchezo wa mzunguko wa kwanza uliochezwa…

Read More

AZIZ KI AMECHANGANYA KINOMA

AZIZ KI kiungo mshambuliaji wa Yanga kahusika kwenye mabao 23 ya timu hiyo inayonolewa na Kocha Mkuu, Miguel Gamondi. Wakati ubao wa Uwanja wa Azam Complex, Mei 8 2024 ukisoma Yanga 1-0 Kagera Sugar alitoa pasi moja ya bao. Ilikuwa ni dakika ya 83 pasi hiyo alitoa na kumpa mwamba Mudathir Yahya ambaye aliingia kwenye…

Read More

AZAM FC WANA BALAA HAO, SIMBA TATIZO

WAKATI ikiwa ni saa kadhaa zinahesabika kufika mchezo wa Mzizima Dabi, Uwanja w Mkapa, rekodi zinaonyesha kuwa Azam FC wana balaa kwenye eneo la ushambuliaji kutokana na kasi yao kuwa hivyo. Msimu wa 2023/24 haujawa bora kwa Simba katika eneo la ushambuliaji kutokana na aina ya washambuliaji waliopo kukosa nafasi wanazozipata kwenye mechi zao. Kinara…

Read More

REAL MADRID IMETINGA FAINALI YA LIGI YA MABINGWA ULAYA

Real Madrid imetinga fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya kufuatia ushindi wa jumla wa 4-3 dhidi ya Bayern Munich kwenye nusu fainali. FT: Real Madrid 🇪🇸 2-1 🇩🇪 Bayern Munich (Agg. 4-3) ⚽ Joselu 88’ ⚽ Joselu 90+2’ ⚽ Davies 68’ Real itachuana na Borussia Dortmund kwenye fainali itakayopigwa Juni 1, 2024 Jijini London katika…

Read More

HIZI HAPA KAZINI LIGI KUU BARA

LIGI Kuu Tanzania Bara mzunguko wa pili kasi yake inazidi kuwa kubwa ambapo ni muda wa kukamilisha hesabu. Mei 8 kuna timu zitakuwa kazini kusaka pointi tatu ndani ya uwanja katika dakika 90 za kazikazi. Ni Mashujaa watakuwa Uwanja wa Lkae Tanganyika, mwisho wa reli Kigoma kukabiliana na KMC. Ikumbukwe kwamba Mashujaa imetoka kupoteza mchezo…

Read More

YANGA YAIPIGIA HESABU HIZI KAGERA SUGAR

MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Bara Yanga chini ya Kocha Mkuu, Miguel Gamondi wanatarajiwa kumenyana na Kagera Sugar, Uwanja wa Mkapa. Ipo wazi kuwa Yanga haijapoteza mchezo wowote msimu wa 2023/24 ikiwa nyumbani hivyo Kagera Sugar wanakazi kubwa kufanya ugenini. Kocha Mkuu wa Yanga, Miguel gamondi amebainisha kwamba wapo tayari kwa mchezo huo na kikubwa…

Read More

MZEE WA BOLI ITEMBEE NA DAKIKA 270 ZA MOTO

JUMA Mgunda, Kocha Mkuu wa Simba katika mechi tatu ambazo ni dakika 270 ameshuhudia timu hiyo ikiambulia sare moja, ikishinda mechi mbili. Ni dakika za moto uwanjani kutokana na wachezaji wa kikosi cha kwanza kutokuwa fiti ikiwa ni pamoja na Kibu Dennis aliyepata maumivu kwenye mchezo dhidi ya Namungo, Henock Inonga ambaye ni beki alipata…

Read More