
YANGA YAIVUTIA KASI TP MAZEMBE
Meneja wa Yanga, Walter Harson amesema kuwa walianza maandalizi kuelekea mchezo wao dhidi ya TP Mazembe wakiwa Uarabuni, Algeria hivyo kwa sasa ni mwendelezo kuwa imara ili kupata matokeo kwenye mchezo ujao wa hatua ya makundi. Katika mechi mbili za Ligi ya Mabingwa Afrika, Yanga ilikwama kusepa na pointi tatu zaidi ya kugotea kuzipoteza hivyo…