PENALTY ZINAENDELEA KUWAPA WATU MAISHA

Penalty tu zinaendelea kuwapa watu maisha kwani kupitia mchezo wa Beach Penalties watu wanashinda maokoto ya kutosha, Ambapo ni ufanisi wako tu katika kupiga penalty na kufunga ndio kunakupa mkwanja. Umahiri wako wa kupiga mikwaju ya Penalty ndio inaweza kukufanya ukaondoka na mamilioni kupitia mchezo huu pendwa kwasasa, Kwani utapaswa kupiga penalty zako tano na…

Read More

HII HAPA RATIBA LIGI KUU BARA

LIGI Kuu Tanzania Bara inatarajiwa kuendelea kwa mara nyingine tena mzunguko wa kwanza msimu wa 2024/25 ambapo kuna viwanja vitatu vitakuwa kwenye mtafutano wa pointi tatu. Ikumbukwe kwamba mabingwa watetezi wa ligi ni Yanga wao watakuwa na kazi Oktoba 26 kusaka pointi tatu dhidi ya Coastal Union ya Tanga. Oktoba 25 2025 hizi hapa mechi…

Read More

MASTAA HAWA SIMBA OUT KUIKOSA NAMUNGO

KUELEKEA kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa KMC, Mwenge saa 10:00 jioni kuna mastaa wa Simba zaidi ya wawili ambao wataukosa mchezo huo kutokana na kutokuwa fiti. Ikumbukwe kwamba Jean Ahoua, Yusuph Kagoma na Abdulazack Hamza ambayr ni beki  hawa wote walikosekana mchezo dhidi ya Tanzania Prisons, Uwanja wa Sokoine walipata…

Read More

FOUNTAIN GATE WATUMA UJUMBE HUU BLACK STARS

ISSA Liponda, maarufu kama Issa Mbuzi, Ofisa Habari wa Fountain Gate ameweka wazi kuwa watawanyamazisha wapinzani wao Singida Black Stars katika mchezo wa Ligi Kuu Bara. Oktoba 25 Fountain Gate itakuwa Uwanja wa Liti kusaka pointi tatu mbele ya Singida Black Stars unaotarajiwa kuchezwa saa 8:00 mchana na utakuwa mubashara Azam TV. Ipo wazi kuwa…

Read More

NYAKUA MKWANJA LEO KUPITIA MICHUANO YA UEFA EUROPA LEAGUE

Meridianbet leo wanaweza kua sababu ya wewe kunyakua mkwanja wa kutosha kupitia michuano ya Uefa Europa League, Kwani leo itapigwa michezo mikali ya michuano hiyo ambayo imepewa Odds bomba. Michezo ya Europa league imekua ikiwapa watu wengi fursa ya kunyakua mamilioni kila ambapo michuano hii inapokua inachezwa, Hivo leo ni siku nyingine tena ya kupata…

Read More

‘PEP GUARDIOLA MNENE’ KOCHA MPYA NAMUNGO

Aliyekuwa kocha wa klabu ya Simba Sc, Juma Mgunda ameteuliwa kuwa kocha mkuu wa klabu ya Namungo Fc ambapo atasaidiwa na Kocha Ngawina Ngawina, Shadrack Nsajigwa na Vladimir Niyonkuru. Taarifa iliyotolewa na Wauaji hao wa Kusini imebainisha kuwa aliyekuwa Kocha Mkuu, Mwinyi Zahera amebadilishiwa majukumu ambapo kwa sasa atakuwa mshauri wa benchi la Ufundi.  

Read More

BARCELONA YAWAPIGA CHUMA NNE BAYERN MUNICH

Raphinha amefunga hat-trick huku Robert Lewandowski akifunga bao lake la 97 kwenye Ligi ya Mabingwa Ulaya wakati Bayern Munich ikipokea kichapo cha 4-1 dhidi ya Barcelona katika dimba la Olímpic Lluís Companys. FT: Barcelona 🇪🇸 4-1🇩🇪 Bayern Munich ⚽ 1’ Raphinha ⚽ 36’ Lewandowski ⚽ 45’ Raphinha ⚽ 18’ Kane ⚽ 56’ Raphinha 𝐅𝐔𝐋𝐋 𝐓𝐈𝐌𝐄:…

Read More

CLEMENT MZIZE ANA KAZI KUBWA YANGA

CLEMENT Mzize mshambuliaji wa Yanga ana maajabu yake ndani ya Bongo kutokana na kupenya katika kikosi cha kwanza mbele ya miamba Prince Dube, Jean Baleke, Kennedy Musonda ambao wote ni washambuliaji akiwa na kazi kubwa ya kufanya kutimiza majukumu yake. Ipo wazi kwamba kwenye mchezo dhidi ya Kagera Sugar Mzize alianzia benchi na alipopata nafasi…

Read More

KIBU DENNIS AMEANZA BALAA, ATAFUTWE MWINGINE

KIBU Dennis kiungo mshambuliaji wa Simba amejihakikishia nafasi kikosi cha kwanza chini ya Kocha Mkuu, Fadlu Davids ambapo kwenye mechi mbili mfululizo alianza kikosi cha kwanza. Katika Kariakoo Dabi, Kibu hakukomba dakika 90 lakini aliingia kwenye orodha ya nyota waliochezewa faulo zaidi ya tano ndani ya uwanja na mojawapo alisababisha kadi ya njano kwa Dickson…

Read More

YANGA MBELE YA JKT TANZANIA REKODI HIZI HAPA

CHINI ya Kocha Mkuu, Miguel Gamondi, Yanga walikomba pointi tatu mazima baada ya ubao wa Uwanja wa Azam Complex kusoma Yanga 2-0 JKT Tanzania. Hapa tunakuletea baadhi ya rekodi za wachezaji wa timu zote mbili namna hii:- DJIGUI DIARRA Kipa namba moja wa Yanga mchezo wake wa sita mfululizo ambazo ni dakika 540 amekaa langoni…

Read More