TAIFA STARS KAZINI LEO AFCON
HATIMAYE baada ya Januari 13 2024 kazi kuanza kufanyika Ivory Coast kwenye mashindano makubwa barani Afrika, Kombe la Mataifa Afrika maarufu kama AFCON leo ni zamu ya Tanzania kutupa kete yake ya kusaka ushindi. Kuelekea kwenye mchezo huo kocha msaidizi wa timu ya taifa ya Tanzania, Hemed Morocco amesema kuwa wachezaji wapo tayari kupambana na…