TAIFA STARS NA MATUMAINI AFCON
NYOTA wa timu ya taifa ya Tanzania, Simon Msuva amesema kuwa bado wana nafasi ya kufuzu hatua ya makundi kwenye Kombe la Mataifa Afrika, (AFCON) nchini Ivory Coast licha ya kete ya kwanza kutokuwa na matokeo mazuri kwa Tanzania. Ipo wazi kwamba katika mchezo wa kwanza uliochezwa Januari 17 ilikuwa Morocco 3-0 Tanzania waliomtungua Aishi…