SIMBA KUKABILIANA NA TABORA UNITED

KIKOSI cha Simba kina kazi ya kukabiliana na Tabora United kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Ali Hassan Mwiny. Simba imetoka kupata ushindi ugenini ubao wa Uwanja wa Lake Tanganyika uliposoma Mashujaa 0-1 Simba na bao likifungwa na Said Ntibanzokiza baada ya dakika 90. Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano…

Read More

BENCHIKHA ATANGAZA POINTI 15 ZA UBINGWA

MARA baada ya kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Mashujaa katika mchezo wa Ligi Kuu Bara uliopigwa juzi Jumamosi, Kocha Mkuu wa Simba, Abdelhak Benchikha ametamba kujipanga kuzoa pointi zote 15 za michezo yao mitano ijayo ili kujiweka kwenye nafasi nzuri ya kuwa mabingwa. Simba juzi Jumamosi ilifanikiwa kuibuka na ushindi wa bao…

Read More

MICHEZO ISIYO YA KIUNGWANA ISIPEWE NAFASI

KILA siku tunashuhudia ushindani mkubwa kwenye mechi ambazo zinachezwa ndani ya uwanja wa kila timu kupambania kupata ushindi hilo ni jambo la msingi ambalo linapaswa kuwa endelevu. Wakati haya yanaendelea kumekuwa na tatizo la wachezaji  kuendelea kutumia nguvu nyingi na wakati mwingine kucheza faulo hata pale ambapo haihitajiki kabisa. Muhimu kuongeza umakini na kuendelea kucheza…

Read More

YANGA YAKAA NAMBA MOJA

YANGA imeibuka na ushindi wa bao 1-0 Dodoma Jiji katika mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa Uwanja wa Azam Complex. Bao pekee la ushindi limefungwa na Mudathir Yahya dakika ya 86 akitumia pasi ya Kibabage. Wakali wote wawili walitokea benchi kipindj cha pili ambapo Dodoma Jiji walikuwa wanakaribia kupata pointi moja mpango ukavurugwa jioni. Mbinu…

Read More

TABORA UNITED YATUMA UJUMBE HUU SIMBA

UONGOZI wa Tabora United umesema kuwa hauna hofo na mchezo wao dhidi ya Simba ambao utakuwa wa ligi wapo tayari kuchukua pointi tatu kwa namna yoyte watakapokutana ndani ya uwanja. Ofisa Habari wa Tabora United, Christina Mwagala amesema kuwa kikosi walichonacho pamoja na usajili mzuri waliofanya unawapa nguvu ya kupata matokeo kwenye mechi zao zote…

Read More

ARSENAL YAIBAMIZA LIVERPOOL BAO 3-1

Majogoo wamedhalilika ugenini dhidi ya Washika Mitutu kufuatia kipigo cha 3-1 katika dimba la Emirates. FT: Arsenal 3-1 Liverpool 14’— Saka ⚽ 67’— Martinelli ⚽ 45+3’— Magalhães (og) ⚽ 88’ Konate ? 90+2’ — Trossard ⚽ Arsenal imesogea mpaka alama mbili nyuma ya kinara Liverpool kwenye msimamo wa Ligi Kuu England alama 49 baada ya…

Read More

YANGA KUIKABILI DODOMA JIJI

 BAADA ya kuambulia sare mchezo wao wa kwanza ndani ya Februari 2 2024 mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Bara Yanga kesho wanashuka kwa mara nyingine tena uwanjani. Kesho Yanga itakuwa na kibarua cha kusaka pointi tatu dhidi ya Dodoma Jiji mchezo unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Azam Complex. Yanga ilikomba pointi moja ugenini Uwanja wa Kaitaba…

Read More

JKT QUEENS YAKUTANA NA RUNGU HILI

MABINGWA watetezi Ligi Kuu ya Wanawake (WPL), JKT Queens wamekumbana na rungu la faini ya  milioni 3 pamoja kupokwa pointi tano kutokana na kitendo cha kushindwa kutokea kwenye Uwanja wa Azam Complex, kuvaana na Simba katika mfululizo wa mechi za ligi hiyo. Mechi hiyo hiyo ilikuwa ipigwe Januari 9, mwaka lakini JKT haikwenda Chamazi, kwa…

Read More

MALI NDO BASI TENA AFCON

LICHA ya kuanza kutangulia kufunga bado hawajatusua kutinga hatua ya nusu fainali hivyo Mali kwa 2023 kutwaa taji hilo ndo basi tena mpaka wakati ujao. Mali ilipoteza kwenye mchezo wa robo fainali dhidi ya timu ya taifa ya Ivory Coast ambayo imetinga hatua ya nusu fainali Kombe la Mataifa ya Afrika (Afcon 2023) baada ya…

Read More