YANGA NI KAZI JUU YA KAZI

MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Bara Yanga ni kazi juu kazi ndani ya Ligi Kuu Bara kutokana na mechi zao kuwa bandika bandua. Ikumbukwe kwamba Yanga chini ya Miguel Gamondi ambaye ni kocha mkuu ina kazi ya kutetea taji la ligi baada ya kutwaa 2022/23. Inaendelea kupambania pointi tatu ndani ya ligi kwa Februari ilipofungulia…

Read More

AFCON 2023 NUSU FAINALI YA WABABE

KAZI bado ipo ndani ya Michuano ya Kombe la Mataifa Afrika, (AFCON) wababe watakuwa kusaka ushindi kutinga hatua ya fainali. Unaukumbuka mchezo wa robo fainali ile ya kipa shujaa wa Afrika Kusini kàtika mikwaju ya penalti? Ngoma itakuwa Nigeria dhidi ya Afrika Kusini halafu Ivory Coast wwnyeji dhidi ya DR Congo. Dr Congo kuna Henock…

Read More

NYOTA WA YANGA BADO MAJANGA

BADO hajawa fiti winga Agustino Okra Magic aliyewahi kucheza ndani ya Simba kabla ya kuibukia ndani ya kikosi cha Yanga msimu wa 2023/24. Ipo wazi kwamba Okra alipata maumivu kwenye mchezo wake wa kwanza kuvaa uzi wa Yanga katika mechi za ushindani ilikuwa Mapinduzi 2024, Zanzibar. Hakuwa sehemu ya kikosi kilichocheza mchezo wa kwanza ndani…

Read More

REKODI HIZI ZIMEANDIKWA LIGI YA WANAWAKE

REKODI zinazidi kuandikwa kila leo ndani ya Ligi ya Wanawake Tanzania huku raundi ya 8 ikiwa ni ya kipekee kwenye upande wa mabao ya jumla kufungwa ambayo ni 16. Ikumbukwe kwamba raundi ya 7 yalikusanywa jumla ya mabao 12 huku ile raundi ya sita yakikusanywa jumla ya mabao 13. Rekodi hizo katika raundi mbili zote…

Read More

NYOTA SIMON MSUVA KAANZA KAZI NA TIMU YAKE MPYA

NYOTA  Simon Msuva hatimaye ameanza kazi kwenye timu yake mpya baada ya kuachana na timu yake ya zamani. Ni Simon Msuva ambaye ni kiungo mshambuliaji wa timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars ameanza rasmi mazoezi na timu yake ya mpya ya Al Najmah ya Saudi Arabia. Kiungo huyo aliyekuwa anatajwa kurejea Yanga amesajiliwa kwenye…

Read More

MECHI ZA FA NA COPA DEL REY KUKUPA MKWANJA

Mechi mbalimbali zinaendelea na tayari ODDS KUBWA zipo tayari kwenye app ya meridianbet hivyo ingia sasa na uanze kusuka mkeka wako wa maana hapa, Unachotakiwa kufanya ni kuweka dau lako na kuanza kutengeneza pesa sasa. Raundi ya 4 kombe la FA Uingereza kuendelea hii leo  Southampton dhidi ya Watford FC ambapo timu hizi zote zinatokea…

Read More

GAMONDI AMKOMALIA JOB

MIGUEL Gamondi, Kocha Mkuu wa Yanga ameweka wazi kuwa ni lazima safu yake ya ulinzi kuhakikisha inakuwa kwenye mwendo bora kila wakati katika mechi za ushindani ili kuongeza nguvu ya kupata ushindi. Katika safu ya ulinzi ya Yanga chaguo namba moja kwa Gamondi ni Dickson Job beki mwenye rekodi ya kuwa mfungaji wa bao la…

Read More