ALHAMISI NI KWAAJILI YA EUROPA LEAGUE

Je unajua kuwa leo hii ni zamu yako na wewe kuchukua maokoto na wakali wa Meridianbet?. Ingia sasa kwenye akaunti yako na usuke jamvi lako la ushindi kwani odds kubwa zipo hapa. Pesa ipo hapa kwenye mechi ya FC Porto dhidi ya Midtjyland ya kule Denmark ambao walipotez amechi yao iliyopita huku mwenyeji yeye akitoa…

Read More

MWENDA ACHEKELEA KUWA NDANI YA YANGA

BEKI wa kupanda na kushuka Israel Mwenda ameanza mazoezi ikiwa ni maandalizi kwa mechi za ushindani msimu wa 2024/25 akiwa na uzi wa Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu, Sead Ramovic. Mwenda ambaye ni beki ameibuka hapo akitokea kikosi cha Singida Black Stars alitambulishwa rasmi Desemba 11 2024 kuwa ni njano na kijani. Amekutana na baadhi…

Read More