
REAL MADRID, LIVERPOOL, AS MONACO, NA WENGINE KUKUPATIA MAPENE LEO
Jumanne ya leo ni ya kuchukua mzigo wa kutosha na Meridianbet kwani mechi zinajieleza. Nani na nani unampa leo ushindi uondoke ukifurahia na kubashiri na wakali wa odds Tanzania? Kwanza kabisa suka jamvi mechi ya Sporting Lisbon vs Manchester City ambao wapo vibaya hivi karibuni. Timu zote zina pointi 7 hadi sasa hivyo leo kila…