
YANGA YAPOTEZA POINTI MBELE YA AZAM FC
AZAM FC, matajiri wa Dar inakuwa timu ya kwanza kukomba pointi tatu mbele ya mabingwa watetezi Yanga kwenye mchezo wa ligi msimu wa 2024/25. Kwenye mchezo uliochezwa Uwanja wa Azam Complex, baada ya dakika 90 ubao umesoma Yanga 0-1 Azam FC bao la ushindi likifungwa na Sillah dakika ya 33. Katika mchezo wa leo Yanga…