MBWANA SAMATTA KAZINI DR CONGO

MBWANA Samatta nahodha wa timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars yupo kazini akiwa ni miongoni mwa wapeperusha bendera ya Tanzania kwenye mchezo wa kuwania kufuzu AFCON 2025 dhidi ya DR Congo.

Kikosi kamili Oktoba 10 2024 kipo namna hii:-

Ally Salim

Lusajo Mwaikenda

Mohamed Hussen

Ibrahim Bacca

Job

Adolf Mtaswigwa

Kibu Dennis

Mudathir Yahya

Feisal Salum

Clement Mzize

USIKOSE kupata nakala ya kitabu cha Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo kilichoandikwa na Lunyamadzo Mlyuka, kukipata 0756 028 371.