>

PATASHIKA HII HAPA BONGO, KITAWAKA

PATASHIKA Bongo haijawahi kupoa kutokana na kila timu kuwa kazini kusaka pointi tatu muhimu ndani ya uwanja katika dakika 90 za kazi. Ni Mzizima Dabi mchezo utakaowakutanisha wapinzani wawili Azam FC na vinara wa ligi kwa sasa msimu mpya wa 2024/25 Simba. Ikumbukwe kwamba Azam FC, Septemba 7 ilimtangaza Rachid Taoussi raia wa Morocco kuwa…

Read More

MSUVA: TAIFA STARS NI YA KILA MMOJA

NYOTA wa timu ya taifa ya Tanzania, Simon Msuva ameweka wazi kuwa timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars ni ya kila mmoja hivyo anayepewa nafasi ya kuitwa ana nafasi ya kupeperusha vema bendera ya Tanzania. Msuva hayupo kwenye orodha ya wachezaji waliochaguliwa kuunda kikosi cha Stars kwa ajili ya kuwania kufuzu AFCON 2025 Morocco…

Read More

UEFA NATIONS LEAGUE INAENDELEA TENA LEO

Ligi mbalimbali barani ulaya ni kweli zimesimama lakini hiyo sio sababu ya wewe kushindwa kushinda mkwanja, Kwnai michuano ya Uefa Nations League inaendelea na michezo mikali inapigwa karibu kila siku.   Michuano hii inaweza kukupa mkwanja na wikiendi ikachangamka kwasababu palwe kwenye tovuti ya Meridianbet michezo yake imepewa Odds bomba sana, Hivo ni fursa kwako…

Read More