KAGERA SUGAR YAPOTEZA MBELE YA YANGA, MAXI, MZIZE WAA
MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Bara Yanga wamefungua pazia la Ligi Kuu Bara kwa ushindi kwenye mchezo wao wa kwanza wakiwa ugenini. Baada ya dakika 90 ubao wa Uwanja wa Kaitaba umesoma Kagera Sugar 0-2 Yanga wakisepa na pointi tatu mazima msimu wa 2024/25. Maxi Nzengeli alipachika bao la ufunguzi dakika ya 25 akitumia makosa…