SITA WA SIMBA WAITWA TIMU ZA TAIFA
MASTAA sita wa Simba inayoongoza Ligi Kuu Bara msimu wa 2024/25 wameitwa kwenye majukumu yao ya timu ya taifa kwa ajili ya kuwania kufuzu AFCON 2025. Ipo wazi kwamba Simba inayonolewa na Kocha Mkuu, Fadlu Davids kwenye mechi mbili za ligi ambazo ni dakika 180 imekomba jumla ya pointi sita na safu ya ushambuliaji imefunga…