MVP ATUMA UJUMBE HUU KUELEKEA KARIAKOO DABI

MVP wa Ligi Kuu Bara msimu wa 2023/24 Aziz Ki ameweka wazi kuwa kila baada ya mchezo mmoja kinachofuata ni maandalizi kwa mchezo ujao ndani ya uwanja. Ikumbukwe kwamba Yanga iliweka kambi Afrika Kusini ambapo ilialikwa kwenye mashindano maalumu ilitwaa Kombe la Toyota kwa ushindi wa mabao 4-0 baada ya dakika 90. Katika mchezo huo…

Read More

JEMBE: SIMBA WAMALIZANE VIZURI NA MANULA

LEGEND kwenye masuala ya uandishi wa habari za michezo Bongo kitaifa na kimataifa, Saleh Ally wengi wanapenda kumuita Jembe ameweka wazi kwamba ni muhimu Simba kumalizana vizuri na mchezaji wao Aishi Manula. Manula hayupo kwenye mpango na Simba kwa msimu wa 2024/25 jambo ambalo lilipelekea asitambulishwe kwenye kikosi siku ya Simba Day, Agosti 3 Uwanja…

Read More

SALEH JEMBE: SIMBA HAIMHITAJI MANULA, BUSARA ZITUMIKE KUMALIZANA – VIDEO

Mchambuzi mahiri wa soka, Saleh Ally Jembe @salehjembefacts amesema mashabiki wa Simba waliomzomea mchezaji wao, Kibu Denis kwenye mechi dhidi ya APR ya Rwanda kwenye Simba Day, walikuwa sahihi kutokana na utovu wa nidhamu waliofanyiwa na mchezaji huyo. Saleh amesema Kibu Denis pia hakupaswa kucheza kwenye mechi hiyo kwani hakushiriki kwenye mazoezi ya pre-season kama…

Read More