>

SHIMO LA EXPANSE KASINO LINATEMA HELA, KACHUKUE MZIGO WAKO

Shimo la Expanse Kasino Linaendelea kutema Mamilioni ndivyo unavyoweza kusema, ni mwezi mwingine wa kuwa tajiri kwa kuvuna mibonasi kutoka Meridianbet kasino ya Mtandaoni. Jisajili hapa na chagua mchezo wa kusakia utajiri. Meridianbet inatafuta washindi takribani 40, ambao watagawana mgao mkubwa wa Mamilioni, lakini sharti ni hadi wacheze michezo ya kasino ya mtandaoni kutoka Expanse….

Read More

ERLING HAALAND, NICO WILLIAMS KUTUA BARCELONA

TETESI za usajili zinasema Barcelona inatarajia kuongeza wachezaji wawili maarufu katika madirisha mawili yajayo ya uhamisho ya kiangazi, Nico Williams mwaka huu na kisha Erling Haaland mwaka 2025. Barcelona imeonyesha nia ya kuwasajili Erling Haaland na Nico Williams, lakini kuna changamoto kubwa za kifedha na kiutaratibu zinazohusika. Kwa Erling Haaland, hatua hii inategemea klabu hiyo…

Read More

MBAYA WA SIMBA ATUA YANGA

MABOSI wa Yanga wamekamilisha dili la kuinasa saini ya mshambuliaji mwenye kupenda kufunga akiwa ndani ya uwanja jambo ambalo linaongeza nguvu kwenye safu ya ushambuliaji ya mabingwa wa ligi Yanga msimu wa 2023/24. Nyota huyo alikuwa akiwapa tabu makipa wengi Bongo ikiwa ni pamoja na wale wa Simba ikiwa ni pamoja na Aishi Manula, Ayoub…

Read More

MWAMBA HUYU ATAMBULISHWA SIMBA

KIUNGO mkabaji Augustine Okejapha ametambulishwa ndani ya kikosi cha Simba kwa ajili ya kupata changamoto mpya kwa msimu ujao unaotarajiwa kuanza Agosti. Nyota huyo ni raia wa Nigeria anatarajiwa kuwa kwenye changamoto mpya kwa msimu wa 2024/25 ndani ya Simba. Julai 5 2024 Simba ilimtambulisha kocha mpya ambaye ni Fadlu Davis ambaye atafanya kazi na…

Read More

KIUNGO WA KAZI NGUMU KUSEPA SIMBA, KOCHA MPYA KAZI IPO

INAELEZWA kuwa kiungo wa kazi ngumu ndani ya Simba Sadio Kanoute huenda akasepa ndani ya kikosi hicho kuelekea msimu wa 2024/25. Kanoute ni mtaalamu kwenye kutembeza mikato ya kimyakimya licha ya sura yake ya upole anatimiza majukumu yake kwa umakini mwanzo mwisho. Inaelezwa kuwa Kanoute raia wa Mali anahitaji kupata changamoto mpya na anahitaji maboresho…

Read More

USHINDI RAHISI WA KASINO CHEZA SASA

Moja kati ya biashara nzuri na yenye mtaji mdogo ni uuzaji wa matunda, huhitaji kuwa na mamilioni ufanye uwekezaji bali unahitaji akili tu ya namna ya kuweka dau lako. Meridianbet Kasino ya Mtandaoni kuna huu mchezo wa Matunda unaitwa Sticky 777. Shinda Mamilioni kwa kujisajili na Meridianbet. Alama kubwa zaidi kwenye sloti hii ya kasino…

Read More