>

MATAJIRI WA DAR WAENDELEZA KAZI ZANZIBAR

MATAJIRI wa Dar, Azam FC wameweka kambi Zanzibar ikiwa ni mwendelezo wa maandalizi ya Ligi Kuu Bara msimu wa 2024/25 pamoja na Ligi ya Mabingwa Afrika. Azam FC chini ya Kocha Mkuu Yusuph Dabo ina kibarua cha kupeperusha bendera kwenye anga la kimataifa jambo ambalo linafanyiwa kazi kwa umakini ili kupata matokeo mazuri kitaifa na…

Read More

HUKU SPAIN KULE FRANCE UNAONDOKA NA NANI?

Leo ndio leo asemaye kesho ni muongo, unaambiwa kitaeleweka pale katika dimba la Allianz Arena ambapo kutakuwa na timu mbili zinazogombani kucheza Fainali. Je nani kuondoka na ushidi leo?. Bashiri sasa mechi hizi pale Meridianbet. Utamu upo hapa kwa Spain dhidi ya France ambao hawapewi nafasi kubwa ya kushinda kutokana ma mwenendo wao tangu mashindano…

Read More

AZIZ RASMI MALI YA YANGA, KIJANI NA NJANO UZI WAKE

MABORESHO ndani ya kikosi cha Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu, Miguel Gamondi yanaendelea ambapo wamemtambulisha mtu mwingine wa kazi ndani ya kikosi hicho. Anaitwa Aziz Andambwile ambaye alikuwa anakipiga ndani ya kikosi cha Singida Fountain Gate msimu wa 2023/24. Ipo wazi kwamba Julai 9 2024 Aziz ametambulishwa Yanga baada ya kufanyiwa vipimo vya afya tayari…

Read More

KIUNGO MGUMU SIMBA IMEISHA

KIUNGO mgumu ndani ya Simba, Sadio Kanoute imeisha hiyo ndani ya timu hiyo baada ya kukutana na Thank You. Ipo wazi kuwa Kanoute raia wa Mali ni kiungo ambaye alikuwa akifanya kazi kubwa ndani ya uwanja msimu wa 2023/24 kwenye eneo la ukabaji. Sifa yake kubwa ni kutembeza mikato ya kimyakimya kwa wapinzani akiwa na…

Read More

Ushindi Hadi Tsh Mil 300 Ukicheza Short Race Kasino

Hivi ikitokea umepata bahati ya kuingia kwenye mashindano ya kushindania Mamilioni, ukiwa kinara kwenye mbio hizo utachukua kiasi gani cha pesa, endapo utapata nafasi ya kujichagulia kiwango? Jisajili Meridianbet Kasino kuwa mshindi.   Kupitia Promosheni mpya mjini ya Kasino, unaweza kuwa Milionea kirahisi kabisa, cheza michezo ya kasino ya mtandaoni kutoka Meridianbet iliyopo kwenye promosheni…

Read More

DOMINICK SALAMBA AFUNGUKA SAKATA LA AZIZ KI YANGA

Mwandishi Nguli wa Michezo nchini Dominick Salamba amefunguka sakata la kiungo mshambuliaji Stephanie Aziz Ki bado kusaini nyongeza ya mkataba mpya, ametoa ufafanuzi huu hapa chini;- ALICHOKISEMA HIKI HAPA>> Aisee hakuna siku nimepokea simu nyingi za maswali kama hii leo, Wengi wakihitaji ๐”ฝ๐•’๐•“๐•ฃ๐•š๐•ซ๐•š๐•  ๐•จ๐•’ ๐”ธ๐•—๐•ฃ๐•š๐•”๐•’ nitolee ufafanuzi kuhusu sakata la Azizi Ki na Yanga SC,…

Read More

MWAMBA KIBWANA SHOMARI BADO YUPO YANGA

BADO yupoyupo sana ndani ya kikosi cha Yanga mwamba Kibwana Shomari ambaye ni mzawa baada ya kuongeza kandarasi nyingine. Yanga kupitia kwa Ofisa Habari Ali Kamwe walibainisha kwamba watafanya usajili bora utakaozingatia vigezo vya uwezo kwa wachezaji ili kuongeza ushindani ndani ya timu. โ€œKila mchezaji ana nafasi ya kuonyesha uwezo wake na tunaamini kwenye ubora…

Read More

MWAMBA HUYU HAPA YUPO BADO SIMBA

MWAMBA Ayoub Lakred ataendelea kuwa ndani ya kikosi hicho baada ya kuongeza kandarasi nyingine hivyo ni uhakika msimu wa 2024/25 atakuwa na uzi wenye rangi nyekundu na nyeupe. Ipo wazi kwamba awali Lakred ilikuwa inatajwa kuwa kipa huyo yupo kwenye hesabu za kurejea Morocco ambapo kuna timu kubwa zilikuwa zinawania saini yake. Miongoni mwa timu…

Read More

KIPA WA MPIRA HUYU HAPA NDANI YA YANGA

MABINGWA wa Ligi Kuu Bara Yanga wameendelea na maboresho ya kikosi hicho kinachonolewa na Kocha Mkuu,Miguel Gamondi kwa kumtambulisha kipa wa mpira kuwa ingizo jipya. Ni kipa wa kazi Khomeiny Abubakary akitokea Ihefu atakuwa kwenye changamoto mpya ndani ya Yanga kwa msimu wa 2024/25 akitimiza majukumu yake. Uwepo wake ndani ya Yanga utaongeza idadi ya…

Read More

SIMBA WAMTAMBULISHA YUSUPH KAGOMA

Klabu ya Simba Sc imethibitisha kukamilisha usajili wa kiungo โ€˜mkata umemeโ€™ Yusuph Kagoma kwa mkataba wa miaka mitatu akitokea Singida Fountain Gate. Taarifa ya Wekundu hao wa Msimbazi inaeleza kuwa โ€œKagoma ni moja ya Vijana wazawa wenye uwezo mkubwa wa kuzuia timu ikishambuliwa na kupandisha mashambuliziโ€

Read More