SLOTI YA FORTUNE FARM! USHINDI NI RAHISI

Meridianbet Kasino ya Mtandaoni inakukaribisha kwenye Shamba la Furaha! Furahia wakati mzuri ambao haujawahi kuwa nao kabla. Kutana na mkulima mwenye furaha na wanyama wake na upate bonasi za kasino za kustaajabisha! Ni wakati wa kuanza safari isiyo na mipaka! Fortune Farm ni mchezo mzuri wa kasino ya Mtandaoni kutoka Expanse Studios! unapocheza mchezo huu…

Read More

SIMBA MPYA INAKUJA HUKO

BAADA ya Simba kugotea nafasi ya tatu msimu wa 2023/24 na pointi zake 69 kibindoni benchi la ufundi limebainisha kuwa kuna maboresho makubwa yanakuja hivyo timu mpya inasukwa kwa ajili ya kurejea kwenye ushindani. Ikumbukwe kwamba ni Juma Mgunda, Kocha Mkuu wa Simba alibeba mikoba ya Abdelhak Benchikha aliyebwaga manyanga huku mchezo wake wa mwisho…

Read More

AZAM FC YAMALIZANA NA MTAMBO WA MABAO

WAWAKILISHI wa Tanzania kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika, Azam FC inayonolewa na Kocha Mkuu, Yusuph Dabo wamemalizana na mtambo wa mabao kutoka Mashujaa kwa ajili ya changamoto mpya ndani ya timu hiyo. Ikumbukwe kwamba msimu wa 2023/24 Azam FC ilimaliza ligi ikiwa nafasi ya pili na pointi 69 baada ya kucheza mechi 30 itapeperusha bendera…

Read More

KITAWAKA LEO MECHI ZA KUFUZU KOMBE LA DUNIA LEO, SENEGAL, DR CONGO, MALI, EGYPT MAMBO NI MOTO!

Leo hii Senegal, DR Congo, Mali, Egypt na timu nyingine kibao zinashuka dimbani kusaka pointi tatu kwaajili ya kujiandaa na Kombe la Dunia 2026. Nani unamdhamini kukupatia maokoto?. Suka jamvi lako na merdiainbet sasa. Senegal yenye kikosi cha ushindi kitakuwa dimbani kukiwasha dhidi ya DR Congo. Timu hiyo ina wachezaji wazoefu na ambao wanacheza ligi…

Read More

AZIZ KI BALAA ZITO YANGA

MWAMBA Aziz Ki ana balaa ndani ya uwanja kutokana na kasi yake kuzidi kuwa imara katika uwanja kila wakati. Rekodi zinaonyesha kuwa amefunga jumla ya mabao 30 ndani ya ligi tangu alipotua Yanga msimu wa 2022/23 na sasa ni 2023/24. Ni mabao 9 alifunga msimu wake wa kwanza na msimu wa 2023/24 katupia mabao 21…

Read More

ORODHA YA NYOTA YANGA WANAOTAJWA KUPEWA THANK YOU

MABINGWA wa Ligi Kuu Bara msimu wa 2023/24 Yanga inayodhaminiwa na SportPesa ipo kwenye hesabu za kuwaacha baadhi ya mastaa ambao hawajafanya vizuri na wengine watasepa baada ya kandarasi zao kugota mwisho. Miongoni mwa wale ambao wanatajwa kwamba hawatakuwa ndani ya kikosi hicho ni Metacha Mnata, Skudu, Joyce Lomalisa.

Read More

KASI YA MWAMBA SAIDO FUNGA KAZI NOMA

KWENYE funga kazi ya msimu wa 2023/24 ndani ya kikosi cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu Juma Mgunda mwamba wa kazi Saido Ntibanzokiza alikiwasha. Pengine kazi yake ingekuwa hivyo tangu mwanzo wa msimu alikuwa na nafasi ya kuvunja rekodi yake ya msimu wa 2022/23 kwa kutupia mabao 17 lakini upepo ulikuwa tofauti. Kiungo mshambuliaji wa…

Read More

SHINDA MAMILIONI NA 20 IMPERIAL CROWN KASINO!!

20 Imperial Crown Deluxe ni mchezo wa kasino mtandaoni unaohusu matunda, mchezo huu una safu tano zilizopangwa katika mistari mitatu yenye mistari 20 ya malipo. Ili kushinda, lazima uunganishe alama tatu au zaidi zinazofanana kwenye mstari wa malipo. Alama ya Lucky 7 ndiyo isiyofuata sheria hii na huleta malipo popote inapoonekana kwenye safu zilizopangwa. Kila…

Read More

JKT TANZANIA MWENDO MDUNDO, WACHEZAJI WAPEWA TANO

MALALE Hamsini, Kocha Mkuu wa JKT Tanzania amesema kuwa ushindi kwenye mchezo wa kwanza wa play off dhidi ya Tabora United ni matokeo ya wachezaji kufanyia kazi makosa yaliyopita. Timu hiyo inapambana kujinusuru kubaki ndani ya ligi ilishuhudia ubao wa Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi ukisoma Tabora United 0-4 JKT Tanzania. Kwenye mchezo ni Said…

Read More