Timu ya taifa ya Ureno imetinga hatua ya 16 bora ya kombe la Mataifa Ulaya, EURO 2024 kufuatia ushindi wa 3-0 dhidi ya Uturuki katika dimba la Signal lduna Park (Dortmund).
FT: Uturuki 0-3 Ureno
Silva 22’
Akaydin (og) 29’
Bruno 56’
MSIMAMO KUNDI F
?? Portugal — mechi 2 — pointi 6
?? Uturuki — mechi 2 — pointi 3
?? Czech — mechi 2 — pointi 1
?? Georgia — mechi 2 — pointi 1