HISPANIA YATINGA HATUA YA 16 BORA EURO 2024 DHIDI YA ITALIA

Uhispania imetinga hatua ya 16 bora ya kombe la Mataifa Ulaya EURO 2024 kufuatia ushindi wa 1-0 dhidi ya Italia katika dimba la Veltins Arena (Gelsenkirchen) kwenye mchezo wa raundi ya pili wa kundi B

FT: SPAIN ?? 1-0 ?? ITALY
⚽ Calafiori (og) 55’

?? Uhispania — mechi 2 — pointi 6
?? Italia — mechi 2 — pointi 3
?? Albania — mechi 2 — pointi 1
?? Croatia — mechi 2 — pointi 1

MECHI ZA MWISHO KUNDI B

Italia ?? vs ?? Croatia

Uhispania ?? vs ?? Albania