>

Timiza Ndoto Zako na Meridianbet Sasa

Timu nne leo zipo uwanjani kusaka pointi tatu za kwanza kwenye michuano ya EURO, na wewe beti na Meridianbet uibke bingwa mpya sasa. Suka jamvi lako na mabingwa wa ODDS KUBWA Tanzania.

Mechi ya kwanza itakuwa ni Turkey dhidi ya Georgia majira ya saa moja usiku leo huku kwa upande wa Meridianbet wakimpa nafasi kubwa ya kushinda Uturuki kwa ODDS 1.76 kwa 4.70. Timu hizi mara ya mwisho kukutana ilikuwa 2012 ambapo Georgia alipoteza. Je leo hii anaweza kulipa kisasi?. Suka jamvi hapa.

Wakati mechi inayosubiriwa na mashabiki wengi wa mpira nayo ni ya Portgal dhidi ya Czech Republic katika dimba la Red Bull Arena. Ikumbukwe kuwa Ureno walichukua kombe hili 2016 na hivi sasa wanataka kulitetea.

Ureno ambayo inanolewa na kocha mkuu Roberto Martinez wamependelewa kushinda mchezo huu wakiwa na ODDS 1.50 kwa 6.07, huku wakiwa na wachezaji bora wengi akiwemo Cristiano Ronaldo, Bernado Silva, Jota, Rafael Leao na wengine kibao. Je wataanzaje michuano hii? Jisajili sasa.

EURO inaendelea leo hii suka jamvi lako hapa na ODDDS KUBWA. Pia unaweza kucheza michezo ya kasino ya mtandaoni kama vile, Poker, Super Heli, Roullette, Aviator, Wild Icy Fruits, Keno na mingine kibao. Ingia mchezoni na ucheze sasa.

Nao Croatia wataumana dhidi ya Albania ambao nao walichezea kichapo. Yaani zinakutana timu mbili ambazo zimetoka kupoteza mechi zao.

Croatia yenye Modric, Kovacic, Brozovic na wengine wengi kushinda mechi hii wamepewa nafasi kubwa ya kuondoka wababe wa mechi hii kwa ODDS 1.47 kwa 6.86. Je nani atapoteza mchezo wa pili mara hii. Beti na Meridianbet.

Germany ambao ni wenyeji wa michuano hii baada ya kuibuka na ushindi mkubwa mechi ya kwanza, watakabiliana dhidi ya Hungary ambao walipoteza mechi yao iliyopita. Mara ya mwisho kukutana, Nagelsmann na vijana wake waliibuka wababe. Meridianbet wameipa mechi hii ODDS 1.27 kwa 9.40, lakini vilevile kuna machaguo zaidi ya 1000 hapa. Ingia na usuke mkeka wako sasa.

Utamu wa EURO utakuwa kwenye mechi hii ya Scotland dhidi ya Switzerland ambao walionyesha mchezo bora sana mechi yao iliyopita. Scotland ambao wamepoteza mechi iliyopita, watataka pointi tatu kabla jua halijakuchwa. Wakati Uswizi wao wametoka kushinda kwa kishindo. Mechi hii ina ODDS 4.21 kwa 1.81. Tengeneza jamvi hapa.