>

TANO BONGO ZAFUNGIWA USAJILI NA FIFA YANGA NDANI

TAARIFA kutoka Shirikisho la Soka Tanzania, (TFF) imeeleza kuwa timu tano Bongo zimefungiwa kufanya usajili wao kwa wakati huu mpaka zitakapokamilisha malipo ya wachezaji ambao wanawadai. Kwenye orodha ya timu hizo tano mabingwa wa Ligi Kuu Bara msimu wa 2023/24 Yanga wamo pia katika orodha hiyo ambapo ili wafanye usajili jambo moja linatakiwa kukamilika haraka…

Read More

HUYU MSHAMBULIAJI WA KAZI KWENYE RADA ZA SIMBA

WAKATI maboresho ndani ya kikosi cha Simba yakiendelea inatajwa kwamba kuna hesabu za kuinasa saini ya mshambuliaji wa KMC, Wazir Junior ambaye ni kinara kwa wakali wakutupia eneo la ushambuliaji. Ikumbukwe kwamba Wazir ndani ya KMC ni mabao 12 alitupia na katika hayo mawili aliwafunga Simba kwenye mchezo uliochezwa Uwanja wa Azam Complex langoni alianza…

Read More

YANGA YAFUNGUKIA AZIZ KI KUIBUKIA SIMBA

WAKATI jina la mfungaji bora ndani ya ligi msimu wa 2023/24 Aziz Ki kiungo mshambuliaji wa Yanga likitajwa kuwa kwenye hesabu za watani zao wa jadi Simba, bosi wa Yanga amefungukia ishu hiyo. Ni mabao 21 Ki alifunga akitoa pasi 8 za mabao na alihusika kwenye mabao 29 ndani ya timu hiyo inayonolewa na Kocha…

Read More

PIRATES POWER KASINO, USHINDI UNAPOANZIA!!

Kasino Inalipa sana! Watu wengi wametajrika kwa kucheza kasino ya mtandaoni ya Meridianbet. Sababu kubwa zipo mbili, kwanza ni rahisi kucheza kasino, pili unaweka dau lolote ulilonalo. Jisajili Meridianbet kuanza safari ya kufukuzia Utajiri. Meridianbet kuna michezo mingi sana ya Kasino ya Mtandaoni, lakini moja kati ya michezo rahisi kabisa wa kasino ni Sloti ya…

Read More