Mwimbaji maarufu wa Bongo Fleva, Rajab Abdul Kahali almaarufu Harmonize ametoa wimbo mpya wa ‘Sensema’ akishirikiana na supastaa mwingine wa muziki wa Kizazi Kipya nchini Tanzania, Rayvanny au Vanny Boy
RAYVANNY X HARMONIZE – SENSEMA (OFFICIAL LYRIC AUDIO)
