>

SIMBA YAFUNGIA MASHABIKI

Sekretarieti ya Klabu ya Simba imewafungia kujihusisha na masuala ya klabu Wanachama Mohamed Khamisi Mohamed maarufu Dr. Mohammed na Agnes M. Daniel maarufu Aggy Simba mpaka pale kamati ya maadili itakapoamua vinginevyo. Sekretarieti imepoke malalamiko mengi ya kimaadili dhidi ya Wanafamilia hao wa klabu ya Simb ikiwemo kuitisha mikutano kinyume na taratibu na kuchochea migogoro…

Read More

MERIDIANBET YAFIKA ZAHANI KIBAHA KUTOA MSAADA

Meridianbet magwiji wa michezo ya kubashiri wameiinua Kibaha na hiyo ni baada ya kufika eneo hilo na kutoa msaada wa katika Zahanati inayopatikana katika eneo hilo. Kurudisha kwenye jamii yake ni utaratibu ambao Meridianbet wamekua nao kwa miaka na miaka na leo wameendeleza utaratibu huo ambapo wamefika Kibaha kwenye Zahanati ya Misugusugu na kurudisha tabasamu…

Read More

AZAM FC KUFANYA KITU KIMATAIFA

UONGOZI wa Azam FC umebainisha kuwa kwenye anga la kimataifa wanaimani watafanya kitu kikubwa ambacho kitawashangaza wengi ambao hawana imani na timu hiyo. Ipo wazi kwamba Azam FC itapeperusha bendera ya Tanzania kwenye anga la kimataifa baada ya kugotea nafasi ya pili kwenye msimamo wa ligi ikiwa na pointi 69. Hasheem Ibwe, Ofisa Habari wa…

Read More

HIVI NDIVYO CHAMA ALIVYOKWAMA SIMBA

KIUNGO wa Simba, Clatous Chama amekwama mazima ndani ya Simba kuifikia rekodi yake ya kuwa namba moja katika kutengeneza pasi za mwisho ndani ya ligi kwa msimu wa 2023/24. Ikumbukwe kwamba Chama raia wa Zambia msimu wa 2022/23 alikuwa ni namba moja kwa wakali wa pasi za mwisho alipotoa jumla ya pasi 14 na kufunga…

Read More