YANGA WATINGA BUNGENI KIBABE LEO DODOMA
Wachezaji na viongozi wa timu ya Yanga wakiwa ndani ya ukumbi wa Bunge wakishuhudia wabunge wakijadili makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo kwa mwaka wa fedha 2024/2025, jijini Dodoma leo Mei 23, 2024.