UEFA MAMBO NI MOTO SANA

Meridianbet wanakwambia hivi, siku ya leo na kesho unaweza kupasua anga kwa kusuka jamvi lako ukiwa na akaunti yako ya Meridianbet kwani huku ndiko kuna mechi za kibabe na machaguo zaidi ya 1000. Kivumbi leo hii kitaanzia pale Parc des Princes ambapo PSG baada ya kupoteza mchezo wa kwanza wa hatua ya Nusu Fainali wa…

Read More

COASTAL UNION YATOSHANA NGUVU NA PRISONS

POINTI moja waliyovuna kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Tanzania Prisons inawabakisha Coastal Union kwenye nafasi ile ya nne. Mei 6 2024, Coastal Union ilikuwa na kazi ya kusaka pointi tatu dhidi ya Tanzania Prisons kwenye mchezo uliochezwa Uwanja wa Mkwakwani, Tanga. Baada ya dakika 90 ubao ulisoma Coastal Union 0-0 Tanzania Prisons…

Read More

YANGA NDANI YA DAR KUWAKABILI KAGERA SUGAR

MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Bara Yanga baada ya kukomba pointi tatu dhidi ya Mashujaa wamerejea Dar kwa maandalizi ya mwisho kuelekea mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Kagera Sugar. Timu hiyo imekuwa kwenye mwendo mzuri ndani ya Ligi Kuu Bara msimu wa 2023/24 kutokana na kupata matokeo chanya kwenye mechi ambazo wanacheza uwanjani….

Read More

ALI KAMWE: AZIZ HAWEZI KUCHEZA NA WATU WANAOFANYA DHULUMA

“Aziz Ki ni kweli anamaliza mkataba wake lakini kwa hapa sioni kama kuna timu ambayo Aziz anaweza kucheza, Aziz anahitajika na timu nyingi kwa hizi timu za Afrika Kusini Aziz hawezi kucheza na watu wanaofanya dhuluma namna ile” “Ziko ofa nyingi lakini kubwa ambalo naweza kuwaambia wanayanga, wachezaji bora ambao wamewaona kwenye kikosi chetu wanasalia…

Read More

MASIKINI MAN UTD IMEJICHOKEA, YAPIGIKA MAGOLI 4-0

Baada ya kuwa na matokeo ya kusuasua katika Msimu wa 2023/24, mambo bado hayajapoa kwa Manchester United ambayo imekubali kichapo cha magoli 4-0 kutoka kwa Crystal Palace kwenye mchezo wa Premier League Magoli ya Michael Olise (mawili), Jean-Philippe Mateta na Tyrick Mitchell yameifanya Palace kufikisha pointi 43 ikiwa nafasi ya 14 huku Man. United ikibaki…

Read More