
SIMBA MIKONONI MWA MASHUJAA KIGOMA
BAADA ya kufungashiwa virago kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika, Simba imerejea Bongo na ina kazi yakufanya kwenye mchezo dhidi ya Mashujaa FC ya kutoka Kigoma. Hivyo Simba ipo mikononi mwa Mashujaa kwenye msako wa ushindi ndani ya dakika 90 Uwanja wa Lake Tanganyika. Ipo wazi kwamba Simba imegotea hatua ya robo fainali Ligi ya Mabingwa…