SIMBA MABINGWA WA MUUNGANO 2024
HATIMAYE mabingwa wapya wa Muungano 2024 ni Simba baada ya kushinda katika mchezo wa fainali dhidi ya Azam FC. Baada ya dakika 90 ubao wa Uwanja wa New Amaan Complex umesoma Simba 1-0 Azam FC. Bao la ushindi limefungwa na kiungo mkabaji Babacar Sarr dakika ya 77 ya mchezo huo ambao ulikuwa na ushindani mkubwa….