SportsHAWA WAKALI KWENYE KUFUNGA NA KUTOA PASI, MSHAMBULIAJI MMOJA Saleh8 months ago01 mins KUNA miamba ndani ya Ligi Kuu Bara inafunga na kutoa pasi za mabao jambo ambalo linawafanya wahusike kwenye mabao mengi kwenye timu zao. Clatous Chama, Aziz KI, Pacome na Maxi kwa upande wa viungo huku mshambuliaji akiwa ni Wazir Junior Post navigation Previous: SIMBA KAMILI GADO KUELEKEA ZANZIBAR KWA MAANDALIZI YA DABINext: AZAM FC SIO KINYONGE UJUE