
MUDA ASEPA NA TUZO YAKE FEBRUARI
KIUNGO wa Yanga ambaye mtindo wake wa ushangiliaji kila anapofunga ni kuonekana kama anaongea na simu amechaguliwa kuwa mchezaji bora ndani ya kikosi cha Yanga kwa Februari. Ni Mudathir Yahya ambaye katupia jumla ya mabao 8 ndani ya Ligi Kuu Bara msimu wa 2023/24 amekuwa chaguo la kwanza la Kocha Mkuu, Miguel Gamondi kwenye mechi…