LIGI YA MABINGWA ULAYA SIO MCHEZO USIKU WA LEO

Ligi ya mabingwa ulaya usiku wa leo itapigwa michezo mikali sana mzunguko wa pili hatua ya 16 bora, Ambapo michezo hii itatamua hatma ya wa timu hizi katika safari yao ya kuitafuta hatua ya robo fainali. Michezo hii mikali itapigwa katika viwnaja viwili ambapo mchezo wa kwanza kati ya Borussia Dortmund dhidi ya PSV Eindhoven…

Read More

YANGA KAZINI TENA LIGI KUU BARA

KAZI inaendelea ndani ya Ligi Kuu Bara ambapo vinara wa ligi na mabingwa watetezi Yanga wanatarajiwa kuwa na kazi ya kusaka pointi tatu dhidi ya Geita Gold. Migue Gamondi, Kocha Mkuu wa Yanga amesema kuwa wapo tayari kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Geita Gold unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Azam Complex….

Read More

AZAM FC KWENYE HATUA NYINGINE TENA

MATAJIRI wa Dar,Azam FC wameendeleza mwendo wa kupiga hatua zaidi kwaajili ya kuwa na wachezaji bora na kuendeleza kutoa ajira kwa Watanzania kupitia sekta ya michezo. Taarifa ambayo imetolewa na Azam FC imeeleza namna hii: “Tumeingia makubaliano ya ushirikiano na vituo vya kulea vipaji (academies) nane za mikoa mbalimbali nchini. “Vituo hivyo nane vitakuwa ni…

Read More

SIMBA NGOMA NZITO KWENYE ULINZI

KATIKA mechi tatu àmbazo ni dakika 270 Simba imeruhusu jumla ya mabao manne ikikwama kuondoka na clean sheet katika mechi hizo. Ngoma ni nzito kwenye upande wa ulinzi huku benchi la ufundi likibainisha kuwa litafanyia kazi hayo yote kwenye uwanja wa mazoezi. Seleman Matola, kocha msaidizi wa Simba amesema wanatambua kuwa kuna makosa yanatokea jambo…

Read More

Kamilisha Ndoto Zako na Super Heli Kasino

Hapo mwanzo baada ya kuutambulisha mchezo wa Super Heli ambao namba moja pendwa kwa michezo ya kasino ya mtandaoni, wengi walikuwa wanauchukulia poa poa tu lakini leo nataka nikujuze usichokifahamu kingine kwenye mchezo huu. Pale Meridianbet kuna michezo mingi sana ya kasino, kuna Aviator, Poker, Roulette nk lakini huu umekuwa gumzo kwa wachezaji wote walioweka…

Read More