HII HAPA SABABU YA YANGA KUJA NA PACOME DAY
UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kuwa sababu kubwa ya kuja na Pacome Day Kitaalamu Zaidi inatokana na utaalamu wa kiungo huyo kwenye eneo la kiungo mshambuliaji ndani ya uwanja kuwapoteza wachezaji wengi wa timu pinzani. Ipo wazi kwamba ndani ya Ligi Kuu Bara, Pacome kafunga mabao sita na pasi tatu za mabao katika Ligi ya…