SIMBA YAPANIA KUWAFUNGA JWANENG KUTINGA ROBO FAINALI
UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa mpango mkubwa kwenye mchezo wao wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Jwaneng Galaxy ni kupata ushindi mkubwa. Ahmed Ally, Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Simba amesema kuwa wanatambua umuhimu wa mchezo huo hivyo watapambana kupata ushindi. Tayari kikosi cha Simba kimerejea Dar baada ya kumalizana na…