SIMBA YATANGAZA VIINGILIO MECHI YA JUMAMOSI DHIDI YA JWANENG KWA MKAPA

“Tarehe 2 ya mwezi wa tatu tunakwenda kushinda tena ushindi wa kihistoria na kwenda robo fainali. Jwaneng tunamheshimu lakini amekuja wakati mbaya.” “Tiketi zimeshaanza kuuzwa na niwakumbushe Wanasimba rekodi zote ambazo tuliziweka, ziliwekwa na Wanasimba wenyewe. Wakati tunamfunga AS Vita mara 2, wakati tunamfunga Horoya mabao 7 ushindi wote ulitokana na mashabiki wa Simba. Ili…

Read More

MAJOGOO WASEPA NA KOMBE MUUAJI ACHEKELEA VIJANA

KLABU ya Liverpool imetwaa ubingwa na  wa Carabao kwenye mchezo wa fainali dhidi ya Chelsea  Uwanja wa Wembley. Katika dakika 90 za mwanzo ngoma ilikuwa ngumu wakati Liverpool ikicheza bila ya uwepo wa mshambuliaji wao nyota Mohamed Salah ambaye bado hajawa fiti. Beki wa kazi ngumu Virgil van Dijk alifunga bao pekee la ushindi kwenye…

Read More