>

SIMBA YAWASILI KIGOMA KUWAKABILI MASHUJAA

LIGI Kuu Tanzania Bara inarejea ambapo timu zote zipo kwenye hesabu za msako wa pointi tatu muhimu. Januari 31 Simba ilifunga kwa mchezo wa Azam Sports Federation dhidi ya Tembo uliochezwa Uwanja wa Azam Complex. Februari Mosi Kikosi cha Simba SC, kimetua mkoani Kigoma kwa ajili ya kukabiliana na Mashujaa FC kwenye mchezo wa ligi…

Read More

KISA INONGA, BENCHIKHA AWACHENJIA MABOSI SIMBA

BENCHI la Ufundi la Simba, ambalo lipo chini ya Kocha Mkuu Mualgeria, Abdelhak Benchikha limezuia mauzo ya beki wao kati Mkongomani, Hennock Inonga. Mkongomani huyo ni kati ya wachezaji wanaounda kikosi cha DR Congo, ambacho kimefuzu hatua ya Robo Fainali ya Kombe la Mataifa Afrika (Afcon) huko nchini Ivory Coast baada ya kuwaondoa Misri katika…

Read More

FOUNTAIN GATE YAIPIGIA HESABU SIMBA QUEENS

TIMU yenye vipaji vikubwa na uwekezaji imara ndani ya Ligi ya Wanawake Tanzania, Fountain Gate Princess inayotumia Uwanja wa Jamhuri, Dodoma kwa mechi za nyumbani inaivutia kasi Simba Queens. Ipo wazi kuwa mchezo wao uliopita wakiwa nyumbani walipoteza kwa kufungwa bao 1-0 dhidi ya JKT Tanzania na kuziacha pointi tatu zikisepa mazima. Mchezo wao unafoata…

Read More

YANGA HAO WAIFUATA KAGERA SUGAR

MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Bara, Yanga mapema Februari Mosi wameanza safari kueleka Bukoba kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Kagera Sugar unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Kaitaba Februari 2 2024. Timu hiyo Januari 30 ilikuwa na kibarua cha kusaka ushindi kwenye mchezo wa raundi ya Pili Azam Sports Federation ilikuwa dhidi…

Read More