SITA HAWATAKUWA NDANI YA SINGIDA FOUNTAIN GATE

MASTAA sita wamekutanana mkono wa asante ndani ya kikosi cha Singida Fountain Gate inayotumia Uwanja wa Liti kwa mechi zake za nyumbani. Timu hiyo ilishiriki Mapinduzi 2024 na ikagotea hatua ya nusu fainali ilipofungashiwa virago na Simba kwa mikwaju ya penalti 3-2 baada ya dakika 90 kutoshana nguvu kwa kufungana bao 1-1. Miongoni mwa nyota…

Read More

HAYA NI MAAJABU YA MPIRA NA MABINGWA

HESABU kubwa zinahitajika kwenye msako wa ushindi kwa kila timu kuwa na mpango kazi wake ndani ya uwanja kusepa na ushindi, hivyo tu basi. Mapinduzi 2024 ilikuwa ni moto wa kuotea mbali huku hesabu zikiwa kubwa kwa kila timu kuingia na mpango kazi wake kusepa na ushindi. Hapa tunakuletea namna hesabu zilivyokuwa na kujibu kwa…

Read More

Jaguar Treasures Kasino Ushindia x3,000

Wakati unawaza kutembelea sehemu mbalimbali duniani kama vile kwenda Vakesheni Dubai, Uturuki na Paris kwenye Jiji la bata, nakupa chaka jingine ambalo watu wengi hawalijui na ukiwa huko utafurahi sana huku unapiga pesa tu. Piramidi zinatambulika zaidi huko Misri, lakini pia umekutana nazo mara nyingi kwenye sloti zinazoakisi makabila ya India. Mara hii tunakupeleka mpaka…

Read More

KISA MASTRAIKA WAPYA, KIGOGO SIMBA NYODO TUPU

AHMED Ally ambaye Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba, anatamani Mashindano ya Kombe la Mataifa Afrika (Afcon) yamalizike hata leo ili waanze kuona ubora wa washambuliaji wao wapya waliowasajili juzi kabla ya dirisha dogo kufungwa la msimu huu. Simba juzi iliwatangaza washambuliaji wawili Fredy Michael Koublane na Pa Omar Jobe ambao wametambulishwa saa chache…

Read More

ISHU YA SAIDO KUBAKI SIMBA IPO HIVI…

IMEELEZWA kuwa Kocha Mkuu wa Simba, Mualgeria Abdelhak Benchikha ndiye aliyenusuru panga la kiungo wake mshambuliaji, Said Ntibanzokiza ‘Saido’ kuendelea kubakia Msimbazi. Awali kiungo huyo alikuwepo katika mipango ya kuachwa katika usajili huu wa dirisha uliofungwa jana saa 5:59 usiku, baada ya kuwepo mvutano wa kimaslahi ya mkataba. Kiungo huyo aligomea kusaini mkataba wa mwaka…

Read More

NYOTA HUYU ALITAKIWA NDANI YA SIMBA

KIUNGO Maarouf Tchakei inaelezwa kuwa alikuwa anapigiwa hesabu na mabosi wa Simba ambao walikuwa wanahitaji saini yake. Abdelhak Benchikha, kocha mkuu wa Simba alikuwa anatajwa kwamba alikuwa anakubali uwezo wa kiungo huyo baada yà kumuona katika Mapinduzi Cup 2024 akiwa na Singida Fountain Gate. Licha ya mabosi Simba kupeleka ofa kuhitaji saini yake walipishana nayo…

Read More

HIVI HAPA VYUMA VIPYA SIMBA NA YANGA

YANGA na Simba kwenye dirisha dogo la usajili zimeongeza wachezaji wapya na wengine wakikutana na Thank You ili wakapate changamoto mpya katika nyingine. Ipo wazi kuwa miongoni mwa wachezaji waliosajiliwa Simba ni pamoja na washambuliaji na viungo kama ilivyo kwa Yanga ambao nao pia wameongeza viungo na mshambuliaji.

Read More