
AZAM FC MACHO YOTE NUSU FAINALI
KALI Ongala, Kocha Mkuu wa Azam FC amesema mchezo wao wa hatua ya nusu fainali dhidi ya Simba ni muhimu kupata ushindi ili wasonge mbele hatua inayofuata. Ni nusu fainali ya Kombe la Azam Sports Federation mchezo unaotarajiwa kuchezwa Mei 6,2023 Uwanja wa Nangwanda,Mtwara.Mabingwa watetezi wa taji hilo ni Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine…