
WAARABU WAKOMAA A FISTON MAYELE
LICHA ya kupoteza mchezo wa kwanza wa fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika Jumapili Mei 28,2023 ubao wa Uwanja wa Mkapa uliposoma Yanga 1-2 USM Alger, jina la mshambuliaji Fiston Mayele lipo mikononi mwa Waarabu. Juni 3,2023 mchezo wa fainali ya pili unatarajiwa kuchezwa na mshindi wa jumla atasepa na taji hilo kubwa Afrika. Mayele…