KOCHA YANGA:MAYELE ATAKUWA MFUNGAJI BORA
MWINYI Zahera aliyewahi kuifundisha Yanga na kwa sasa akiwa ndani ya Polisi Tanzania ameweka wazi kuwa anaona tuzo ya mfungaji bora ikienda kwa Fiston Mayele. Zahera alikuwa benchi Juni 6, 2023 aliposhuhudia ubao wa Uwanja wa Azam Complex ukisoma Simba 6-1 Polisi Tanzania huku Saido Ntibanzokiza akitupia mabao matano na bao moja likifungwa na Israel…