STRAIKA MPYA YANGA ATUMA UJUMBE SIMBA, KRAMO ANA JAMBO NA BALEKE
STARAIKA mpya Yanga atuma ujumbe, ishu ya kipa Simba ipo hivi ndani ya Spoti Xtra Alhamisi
STARAIKA mpya Yanga atuma ujumbe, ishu ya kipa Simba ipo hivi ndani ya Spoti Xtra Alhamisi
SINGIDA Big Day 2023 imefana kutokana na mpangilio wa matukio na mashabiki kujitokeza kushuhudia burudani. Singida Fountain Gate wamefanya kweli kwa kupindua meza kibabe kwenye mchezo wao uliokuwa ukisubiriwa kwa shauku kubwa. Katika mchezo wa kimataifa wa kirafiki ubao baada ya dakila 90 umesoma Singida Fountain Gate 2-1 AS Vita. AS Vita kutoka DR Congo…
NYOTA wa zamani wa Arsenal, Julio Baptista amependekeza uhamisho wa mshambuliaji wa Brazil, Neymar unaweza kuwa msingi kwa The Gunners. Amebainisha kuwa ikiwa Arsenal watampata mshambuliaji huyo watamaliza ukame wao wa taji la Ligi Kuu England. Arsenal hadi sasa msimu huu wa usajili tayari wametumia takribani pauni 200m kwa kuwavuta Declan Rice, Kai Havertz na…
SINGINDA Fountain Gate imewatambulisha majembe mapya yatakaokuwa ndani ya kikosi cha timu hiyo kwa msimu wa 2023/24. Miongoni mwa nyota wapya ni wale waliokuwa ndani ya Simba na Yanga kwa msimu wa 2022/23. Ukiweka kando Joash Onyango ambaye alikuwa ndai ya Simba pia wamemtambulisha mshambuliaji Habib Kyombo na amepewa jezi namba 10. Mwamba mwingine ni…
ALLY Kamwe, Ofisa Habari wa Yanga, ameweka wazi kuwa, kwa msimu mpya wa 2023/24, malengo yao ni kuendelea pale walipoishia msimu wa 2022/23. Msimu wa 2022/23, Yanga ilikomba taji la Ligi Kuu Bara, Ngao ya Jamii na Kombe la Azam Sports Federation, huku ikigotea nafasi ya pili kwenye Kombe la Shirikisho Afrika. Kamwe amesema wanahitaji…
SINGIDA Fountain Gate hawataki mchezo kuanza msimu mpya na bonge moja ya basi mpya kabisa. Ikumbukwe kwamba Agosti 2 2023 ni Singida Big Day Uwanja wa Liti mbali na kutambulishwa kwa kikosi kipya wametambulisha na basi jipya pia Singida Fountain Gate msimu wa 2023/24 inaipeperusha bendera anga la kimataifa katika Kombe la Shirikisho Afrika. Ni…
MCHAMBUZI wa soka Bongo Abdallah amezungumzia suala la ukaraati wa Uwanja wa Mkapa pamoja na mkwanja ambao utatumika
MZEE wa kutetema Fiston Mayele hatakuwa ndani ya kikosi cha Yanga msimu mpya wa 2023/24 baada ya kupata changamoto mpya ndani ya kikosi cha Pyramids ya Misri. Hapa tunakuletea baadhi ya aliyofanya akiwa na uzi wa Yanga namna hii akikutana na Thank You:- Tuzo zake Ana tuzo ya ufungaji bora ndani ya ligi msimu wa…
MSIMU wa 2022/23 Saido Ntibanzokiza alipachika mabao 17 ndani ya Ligi Kuu Bara ikiwa ni rekodi yake bora. Alitwaa tuzo ya kiungo bora msimu wa 2022/23, mfungaji bora licha ya kuwa ni kiungo mshambuliaji na jina lake lilijumuishwa kwenye kikosi bora cha msimu. Mshambuliaji Fiston Mayele wa Yanga naye alitupia mabao 17 na alitwaa tuzo…
KWENYE upande wa usajili kumekuwa na sarakasi nyingi kwa timu za Bongo iwe kuanzia Ligi ya Wanawake, Championship mpaka Ligi Kuu Bara. Sio Simba, Yanga mpaka Geita Gold kumekuwa na sarakasi nyingi ambazo zinachezwa. Mpaka Namungo pia nao Singida Fountain Gate wanatambua namna ambavyo wamekuwa wakipambana kwenye upande wa masuala ya usajili hivyo ni muhimu…
MAXI amchomoa Aziz Ki Yanga, Simba: Tutatangazwa ubingwa kabla ya mechi 5 ndani ya Championi Jumatano
Leo hii Agosti 1 Meridianbet imekutana na waandishi wa habari eneo la Four Points by Sheraton Posta kwaajili ya uzinduzi wa kampeni yao ya Vuna Zaidi na Airtel Money ambayo imeanza leo na kikomo chake ni Septemba 15 mwaka huu wa 2023. Promosheni hii ni kwaajili ya wateja wanaotumia mtandao wa Airtel Money kufanya miamala…
MCHEZA kwao hutuzwa ipo hivyo na Singida Fountain Gate watakuwa nyumbani kuwapa burudani mashabiki wao ikiwa ni mwanzo kuelekea msimu mpya. Agosti 2, 2023 ni sikukuu ya wakulima wa alizeti Singida Fountain Gate kwenye Uwanja wa Liti ikiwa ni Singida Big Day hii itakuwa sio ya mchezomchezo. Hapa tunakuletea namna mipango inavyokwenda Singida Fountain Gate:-…
BAADA ya kikosi cha Simba kuweka kambi kwa muda Uturuki, Agosti Mosi safari ya kurejea Dar imeanza ili kuendelea na maandalizi ya mwisho kwa msimu wa 2023/24. Agosti 6 Simba itakuwa na tamasha la Simba Day lililotanguliwa na watani zao wa jadi Yanga kukamilisha Wiki ya Mwananchi. Agosti 2 ni Singida Big Day ambayo ni…
USHIRIKIANO kwenye kazi ambazo zinafanywa kwa sasa ni muhimu kwenye kila jambo na hii inaongeza nguvu kwenye kupata matokeo chanya. Mabingwa msimu wa 2022/23 Yanga wana kazi kubwa kufikia malengo yao kwa msimu mpya. Ikumbukwe kwamba Yanga ilipata mafanikio kwa kutwaa mataji mengine ikiwa ni Kombe la Azam Sports Federation na Ngao ya Jamii. Pia…
AHMED Ally, Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Simba amesema kuwa wachezaji wote wapo tayari kwa msimu mpya wa 2023/24. Simba ilipashana na mataji msimu wa 2022/23 ambapo ni Yanga walitwaa mataji yote kuanzia Ngao ya Jamii, Kombe la Azam Sports Federation. Katika mchezo wa Ngao ya Jamii, Yanga iliwatungua mabao 2-1 Simba kwenye…
KUELEKEA Singida Big Day inayotarajiwa kufanyika Agosti 2, Uwanja wa Liti uongozi wa Singida Fountain Gate umetambia jambo lao kuwa litakuwa na upekee kwenye kila hatua. Ni burudani kwa mashabiki wa Singida Fountain Gate ambapo wanakwenda kutambulisha kikosi rasmi kwa msimu wa 2023/24 na benchi jipya la ufundi. Ofisa Habari wa Singida Fountain Gate, Hussein…