MAPEMA KUMPA ZIGO LA MAYELE KONKONI YANGA
SASA ni rasmi Fiston Mayele hatakuwa sehemu ya kikosi cha Yanga kwa msimu wa 2023/24 baada ya kukamilisha dili lake la kujiunga na matajiri wa nchi ya Farao Pyramids ambao msimu huu watakuwa na kibarua kikubwa cha kulisaka taji la Ligi ya Mabingwa Afrika. Mayele amekuwa na misimu miwili bora akiwa na kikosi cha Yanga…